Tatizo huna hela za kwenda ndo unaanza kuleta porojo acha wenye hela zao waende. Visiwa vyote 2 hivo wako marine reserve mudaa wooote na hamna matukio yakijinga.
Au wewe ulienda baada kuvunja masharti ya mganga baada kuomba utajiri?
Sent using
Jamii Forums mobile app
[/QUOTHicho bongoyo hakina uhusiano na barabara ya bongoyo karibu na Yale majengo nyuma ya puma oil?