Boti mpaka kisiwani 10k hela za madafu ukifika kisiwani unalipia 3k (kwa mara ya mwisho nilivyolipia) hio kwa sababu ni marine reserve, chakula utakikuta huko cha kuuzwa sema cha bei kidogo.
Alamsiki.
Sent using Jamii Forums mobile app

usafiri unapatikana wapi?Boti mpaka kisiwani 10k hela za madafu ukifika kisiwani unalipia 3k (kwa mara ya mwisho nilivyolipia) hio kwa sababu ni marine reserve, chakula utakikuta huko cha kuuzwa sema cha bei kidogo.
Alamsiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Masaki kule nadhani dleepway pale kunakuag na boti za kwenda uko nadhaniusafiri unapatikana wapi?
Slipway au ukitaka uende kisiwa chengine kinaitwa mbudya ambacho unapandia boti white sands au hoteli ya jangwani sea breaze resort.usafiri unapatikana wapi?
Ndio kwenda na kurudi, boti ya mwisho kurudi inakuwa saa kumi na mbili.
Sasa mkuu hapo kwenye kutiwa vidole tena duuMtakuja tiwa vidole mchana kweupeee. Hicho kisiwa pamoja na kile cha mbudya vyoote vina mambo ya kutisha.
Ukienda basi ombea usafiri wenu usizingue mkatakiwa kulala kule hautakosa cha kusimulia.
Sent using mazonge yamezidi
Ndio kwenda na kurudi, boti ya mwisho kurudi inakuwa saa kumi na mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ni kisiwa kikubwa tu.kwa nini umesema yote hayo?Huku mbudya,bongoyo na Ibiza kuna wafaa wale wakata maji wazuri ,kama kuogelea kwenyew mpaka upate msaada wa maboya bora uishie hapo koko au sava
kwenye kutiwa vidole yashakukuta wewe sio bure, tupe full story ilikuwaje.Mtakuja tiwa vidole mchana kweupeee. Hicho kisiwa pamoja na kile cha mbudya vyoote vina mambo ya kutisha.
Ukienda basi ombea usafiri wenu usizingue mkatakiwa kulala kule hautakosa cha kusimulia.
Sent using mazonge yamezidi
Tatizo huna hela za kwenda ndo unaanza kuleta porojo acha wenye hela zao waende. Visiwa vyote 2 hivo wako marine reserve mudaa wooote na hamna matukio yakijinga.
Au wewe ulienda baada kuvunja masharti ya mganga baada kuomba utajiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe ni nouma. Nimecheka kama zuzu. Sasa kuna uhusiano gani na kutiwa vidole?Mtakuja tiwa vidole mchana kweupeee. Hicho kisiwa pamoja na kile cha mbudya vyoote vina mambo ya kutisha.
Ukienda basi ombea usafiri wenu usizingue mkatakiwa kulala kule hautakosa cha kusimulia.
Sent using mazonge yamezidi