Kisiwa cha Bongoyo.

Kisiwa cha Bongoyo.

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
3,271
Reaction score
4,654
Natamani nifike mahala hapo.Nani humu ashawahi fika kwenye kisiwa hiki kidogo cha Bongoyo.Kiko pembezoni mwa Masaki.Na je unafikaje kule?kuna kulipia kama utalii wa ndani au ni nauli yangu tu.Na nauli ni sh.ngapi? Inaonekana ni mahala pema sana hapo.
Screenshot_2019-12-25-21-13-31.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisiwa kikopoa sana.nilishawahi kwenda nadhani kina ukubwa wa hekari km 60 au 80 sina uhakika sana.ila vyakula vipo ila ni samaki yani vyakula vya ufukweni.ila nisehemu ya kuenjoy sana.kuna sehemu ndani yake kuna maji ambayo siyo chumvi ambayo yapo ndani ya mwamba.ndio baadhi ya maajabu yaliyopo.usafiri ni boat unapandia sleepway hotel ndio rahisi.mi nilipandaga kwa elfu kumi ila ilikua mwaka 2009,sijajua kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtakuja tiwa vidole mchana kweupeee. Hicho kisiwa pamoja na kile cha mbudya vyoote vina mambo ya kutisha.
Ukienda basi ombea usafiri wenu usizingue mkatakiwa kulala kule hautakosa cha kusimulia.

Sent using mazonge yamezidi
kwenye kutiwa vidole yashakukuta wewe sio bure, tupe full story ilikuwaje.
 
Tatizo huna hela za kwenda ndo unaanza kuleta porojo acha wenye hela zao waende. Visiwa vyote 2 hivo wako marine reserve mudaa wooote na hamna matukio yakijinga.

Au wewe ulienda baada kuvunja masharti ya mganga baada kuomba utajiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakuja tiwa vidole mchana kweupeee. Hicho kisiwa pamoja na kile cha mbudya vyoote vina mambo ya kutisha.
Ukienda basi ombea usafiri wenu usizingue mkatakiwa kulala kule hautakosa cha kusimulia.

Sent using mazonge yamezidi
Yaani wewe ni nouma. Nimecheka kama zuzu. Sasa kuna uhusiano gani na kutiwa vidole?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom