Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Usiniguse nimelewa mie...
Pombe yangu ukimwaga utalipa weyee
Nasema ukichukua kisim changu na mziki utazimwaa.....
Iko hivii, wee bibi cheza singeli ooh mziki wa singeli....
Kasie naruka singeli....
Mwanzoni miziki ya aina hii nilikuwa naiona ya kihuni isiyofaa na watu wenye heshima na staha zao hawawezi kucheza miziki aina hii.
Ila..... siku nilipoingia ulingoni na kuhakikisha beat zinaendana na step zangu yaani hata kwenye gari naweka singeli......
Kuna ambao hawata nielewa msijali, hiki kisim changu kidogodogo kinansevu sana....
Nataka niache kulewa mie, niache na bangi mie... viroba tupa kulee ni mwendo wa safari na balimi ππ½ππ½ππ½ππ½
Dadii, you are more than music to me, aaiiilaaabyuuuuu πππ.
Kβ π₯° Matata.