Kisim Changu Kidogodogo Kinanisevu... ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ

Kisim Changu Kidogodogo Kinanisevu... ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ

Kisimu changu kidogo cha line mbili kinanisevu nimi...ha ha ha

Looh line mbili tena, mie yangu OG line moja tuu inantosha sanaa.

Raaahaaa utamuuuu kisim changu ooh kisim changu....
 
Amini kwamba huyo jamaa ni mtoto wa nje ya ndoa

Jamaa yupi maana wako wengi......

Ooh mama singeli kwa utamu wa singeli kisim changu kidogodogo kinanisevu sanaa....
 
Mwanzoni niliduwaa maana nilidhani umeandika "i" mwishoni mwa neno "kisim".

Aahahahahahhahahaaa soma vizuriii
Kisim changu kidogodogo kinanisevu mamaa........

Ukichukua kisim changu na mziki utazimwaa...... Aahahahahahhahaha
 
Usimguse amelewa huyoo
Asije kjtapikia huyoo
Katupa chini viroba ni mwendo wa safari
Kasema singeli sema pembeni ni mwendo wa ragamafini aahahahahahahahhahaa
Shkamoo Grants hakiyababa looh.
Hakyamama singeli na ragamafin... najaribu kupiga picha unakuwa mbele yangu unacheza singeli ukiwa umeinama nami niko nyuma nakata kitu cha Shaba Ranks....

Kisim vululuvululu ... kwisha habari yake. Kinawekwa kwenye power bank kujazwa chaji upya

Gadeim!
 
Wee babuu weewee ujue Dadii anapata wivu oohoooo aahahahahahahaaa
 
Hahahahahaaa wee Bonny weewee huogopi kuzimiwa mziki eeheheheheee.
Ha ha ha ha some staffs worth more than Music..... Wekaaaa Bahariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiaaaaa
 
Ha ha ha ha some staffs worth more than Music..... Wekaaaa Bahariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiaaaaa

I second you weekaa weekaa weekaaa aahahahahhahaha
Cheers.
 
Huu wimbo unachekeshaga "ukichukua simu ya bwax na mziki utazimwa" [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Aaahahhahahahahahaaa sasa kama yule analisakata hadharani vile wewe unakwama wapi babuu, singeli ni kuruka na biti tuu, steps za kwaito ila kwa mwendo wa haraka hahahahaaa

Kulewa tunalewa wote na singeli tutalicheza wote, au hautatoa, jirani anauliza utatoa hutoi.... Ukigoma naniliu anapiga chabo aahahahahhaaaa

Hkyanani hii grantisi sio ya spoti spoti.

K moja Matata sanaaaaaaa aahahahahahaa.
Sure "K moja Matata Sanaaaaaaaaa"

Unce upon a time!!!![emoji12][emoji12][emoji12][emoji13]
 
Back
Top Bottom