Kisim Changu Kidogodogo Kinanisevu... πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ

Kisim Changu Kidogodogo Kinanisevu... πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ

Mie naomba nikione tu kilivyo kidogo lakini matata sana.

Hahahahahahhaaa B to the K, umenifikirisha kuwa.... K moja Matata pia ni sawa na Kisim Kidogo Matata hence KK Matata aahahahhahahahaaa

Kasie ni shiiiiddeeeerrr looh.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nasubiri kwa hamu kuu πŸ™‚

Hahahahahahhaaa B to the K, umenifikirisha kuwa.... K moja Matata pia ni sawa na Kisim Kidogo Matata hence KK Matata aahahahhahahahaaa

Kasie ni shiiiiddeeeerrr looh.
 
Hii bahati mbona ningeenda kumshukuru babu kaburini pale? Huku dansi, mara grants afu shuwaaap kitu cha lunch!


Aahahahahahhahaaa yaani babu hayo mambo ya vina na mizani unaweka hapa yanakufanya unazidi kuwa hendisamu looh..... Ggaadeem Gaamboosh kuulaaallaaaleeek waaalaaah.....

Hii lanchi imepigwa muhuri wa K Matata ama zako ama zangu, bili ni yangu.

Hivi hakuna siku maalum ya maligendari ili nichukue ofu ya lanchi mahsusi kwa babu ODM?
 
Kijana anataka kubangua korosho kwa meno... akisahau yeye kibogoyo. Patia yeye pipi kifua amung'unye wakati sisi tukisakata dansi


Asante babu, raha sana kuwa chini ya mbawa zako....
 
Sakata singeli, Sakata Ragga huku ukikanyagakanyaga

Mwisho wa siku malabuku zetu mbili na robo tatu zinaishia kwenye ulabu

Shuwaaaap kitu mwake mpaka kumtima



Baabuuuu shaamooo....
 
Only sunglasses πŸ•Ά. Kiduchu hivyo! Hahahahaha


Hahahahhahahaaa yeah that's enough, nikikuongezea upawa utalewa halafu utashindwa kulisakata singeli hehehe.
 
Back
Top Bottom