Kisim Changu Kidogodogo Kinanisevu... πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ

Kisim Changu Kidogodogo Kinanisevu... πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ

Ukipata nyeegeez ujue yna afya njema...

Wee baba singeli kwa utamu wa singeli kisim changu kidogodogo kinawazuzua aahahahahahahhahaaa

Kasie mie, acha nilewe mie, sijui ntaweza kuacha mibange aahahahahahaaaa.
aisee
 
Sure "K moja Matata Sanaaaaaaaaa"

Unce upon a time!!!![emoji12][emoji12][emoji12][emoji13]

Hahahahaaahahahaa Ngodaaa
Chakwikiadheee.... Namnani!!?

Umejongomea.... Kusikojulikana...
 
'Kisimi'chako kidogo?.kifanye kuwa kikubwa!
Usiniguse nimelewa mie...
Pombe yangu ukimwaga utalipa weyee
Nasema ukichukua kisim changu na mziki utazimwaa.....

Iko hivii, wee bibi cheza singeli ooh mziki wa singeli....
Kasie naruka singeli....

Mwanzoni miziki ya aina hii nilikuwa naiona ya kihuni isiyofaa na watu wenye heshima na staha zao hawawezi kucheza miziki aina hii.

Ila..... siku nilipoingia ulingoni na kuhakikisha beat zinaendana na step zangu yaani hata kwenye gari naweka singeli......

Kuna ambao hawata nielewa msijali, hiki kisim changu kidogodogo kinansevu sana....

Nataka niache kulewa mie, niache na bangi mie... viroba tupa kulee ni mwendo wa safari na balimi [emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]

Dadii, you are more than music to me, aaiiilaaabyuuuuu [emoji182][emoji182][emoji182].

K’ [emoji3059] Matata.
 
Mi na Dadii ni makomredi. Na kizuri mtu hula na nduguye

Hahahahahahjaaa yaaallaaahhh.....

Ngoja nihakiki kama hawa nao wanataarifa hiyo kuwa babu ODM Asipiro na Dadii wa Kasie ni maswahiba bin komredi....

Watu8 RRONDO

K' Matata.
 
hii nyimbo ni kubwa kuliko mnavyofikiria
 
'Kisimi'chako kidogo?.kifanye kuwa kikubwa!

Mambo ya wakubwa zako haya huyawezi ukiyadandia utaumia buree...

Wakubwa wote wameelewa, ukiona maruweruwe ujue sio yako hiyoo acha wakubwazo wasome tarakimu....
 
Namba nimeiandika mwenyewe haina ugumu wowote kuisoma. Nimeshaisoma na nimeikariri

Le Big Sam Orijinaleeee wengine wote fekerooo

Wacha tulisakate rhumba tuu hakuna namna....
 
Le Big Sam Orijinaleeee wengine wote fekerooo

Wacha tulisakate rhumba tuu hakuna namna....
Sakata singeli, Sakata Ragga huku ukikanyagakanyaga

Mwisho wa siku malabuku zetu mbili na robo tatu zinaishia kwenye ulabu

Shuwaaaap kitu mwake mpaka kumtima
 
Kiiruuuu nkikii.....

Babu ODM naomba nisaidie hapa nimekwama.....

Asprin
Kijana anataka kubangua korosho kwa meno... akisahau yeye kibogoyo. Patia yeye pipi kifua amung'unye wakati sisi tukisakata dansi
 
Hahahahhahahahaaaa waalaah ungekuwa karibu bili yako ya lanchi leo ingekuwa malabuku zangu....

Shkamoo ODM.
Hii bahati mbona ningeenda kumshukuru babu kaburini pale? Huku dansi, mara grants afu shuwaaap kitu cha lunch!
 
Mie naomba nikione tu kilivyo kidogo lakini matata sana.

Usiniguse nimelewa mie...
Pombe yangu ukimwaga utalipa weyee
Nasema ukichukua kisim changu na mziki utazimwaa.....

Iko hivii, wee bibi cheza singeli ooh mziki wa singeli....
Kasie naruka singeli....

Mwanzoni miziki ya aina hii nilikuwa naiona ya kihuni isiyofaa na watu wenye heshima na staha zao hawawezi kucheza miziki aina hii.

Ila..... siku nilipoingia ulingoni na kuhakikisha beat zinaendana na step zangu yaani hata kwenye gari naweka singeli......

Kuna ambao hawata nielewa msijali, hiki kisim changu kidogodogo kinansevu sana....

Nataka niache kulewa mie, niache na bangi mie... viroba tupa kulee ni mwendo wa safari na balimi πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½

Dadii, you are more than music to me, aaiiilaaabyuuuuu πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹.

K’ πŸ₯° Matata.
 
Back
Top Bottom