Kisim Changu Kidogodogo Kinanisevu... πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ

Ha ha ha ha Kasie ushaanza utata kama matata yako? Nan tena huyo uliemith....

Hahahaaaahaahaaa hata si Matata, ni Kasie tuu....

Yule pa cha wako yule..... Heheheheheheh halafu nimejikuta nakumbuka kikunio....

K Moja Matata.
 
Ha ha ha ha usjal zmefika, Kikunio mapema hvi... Goodmorning!!
 
Nashukuru kuzifikisha, kikunio kina ladha yake shurti chakula kinakuwa dikodiko kulishana haji kujiramba vidole.... Utamu kunoga Heheheee

Kasie Matata.
 
Natamani uyo chalii ningekua ndo mimi naifaidi iyo K matata.

Hahahahahahahaa Dadii wa Kasie Matata, anatabasamu tuu akinisoma japo saa nyingine anakasirikaga hehehehehee.
 
.
 
Attachments

  • haa.jpg
    haa.jpg
    10.6 KB · Views: 14
Back
Top Bottom