Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,111
- 2,752
Tafuta kundi la wazandiki utamkutaNi vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza maswali mengi kama watanzania wengine, ila majibu sipati.
Zitto atawaambia nini watanzania kuanzia sasa? Hata watatetezi wake wanamchukuliaje?
Mwenye majibu atuambie kwamba Zitto Kabwe ni mpinzani au ni mtu wa haina gani maana kisiasa hajawahi kuaminika.
View attachment 1645023
Ni vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza maswali mengi kama watanzania wengine, ila majibu sipati.
Zitto atawaambia nini watanzania kuanzia sasa? Hata watatetezi wake wanamchukuliaje?
Mwenye majibu atuambie kwamba Zitto Kabwe ni mpinzani au ni mtu wa haina gani maana kisiasa hajawahi kuaminika.
View attachment 1645023
CHADEMA ina influential gani Zanzibar ?Siamini kama Zitto amehusika au amependelea suala la ACT kujiunga na Serikali ya Kitaifa kule Zanzibar!!
Mistake aliyofanya Zitto ni kumkaribisha Maalim Seif ndani ya ACT ambae nae alikuja na Wafuasi wake!!
Wafuasi wa Seif kutoka CUF walikuwa wengi na more influential kule Zanzibar kuliko Wafuasi wa ACT Asili!!
Matokeo yake, Zitto na ACT Asili hawana ubavu wa kufurukuta kule Zanzibar mbele ya ACT Makirikiri, kwahiyo akina Zitto watake au wasitake, lazima wataburuzwa tu na ACT Zanzibar!!
Na hii ndiyo sababu inayonifanya nisiamini ikiwa kweli Maalim Seif aliomba kujiunga CHADEMA kwa sababu kwavile CHADEMA ilishakuwa strong, asingeweza kuiburuza kama anavyoweza kuiburuza ACT kadri atakavyo!! CHADEMA tayari ilishakuwa na misingi imara ya uongozi na viongozi wake walikuwa very influential unlike ACT ambayo ilikuwa ukimtoa Zitto, hamna kinachobaki!!!
Ambacho alifanya Maalim Seif ni kama alichokuwa amefanya Mrema alipoondoka NCCR!!! Ingawaje wakati ule CUF ilikuwa na nguvu lakini ali-opt kenda TLP kwa sababu alijua angewaburuza atakavyo, na kwali, hadi kesho anaendelea kuwaburuza, fursa ambayo pale CUF asingeipata!!!
Wabongo wenyewe wanapenda vitu vizuri bila jasho.Wanasiasa ni kazi Yao inayowaingizia mpunga bila jasho, vijana chapeni kazi.wanasiasa hawaeleweki.Nani aliamini halima mdee na bulaya watakula njama na spika kwenda kujiapisha bila kibali Cha chama Chao? Kumuamini mwanasiasa ni kutafuta Bp isiyo kuhusu.
Kumbe maridhiano ya kisiasa ni kugawana vyeo eeh ili marupurupu na ving'ora vifanye kazi.haahaaMbowe si alikodi ndege na kuwakusanya wabunge wake kwenda Dodoma kutafuta maridhiano ya kisiasa? Kilichofanyika Zanzibar ndiyo maridhiano yenyewe au sio.
Kumbe maridhiano ya kisiasa ni kugawana vyeo eeh ili marupurupu na ving'ora vifanye kazi.haaMbowe si alikodi ndege na kuwakusanya wabunge wake kwenda Dodoma kutafuta maridhiano ya kisiasa? Kilichofanyika Zanzibar ndiyo maridhiano yenyewe au sio.
Ni makosa Sana kuwatumia wazanzibar kuhalalisha uroho na marupurupu ya seif.Watu wameuliwa, wameteswa, wamevunjwa viuno leo tunasema wazanzibar wametaka maridhiano kwa seif kupewa ugali.Ndo maana mkitangaza maandamano yenu tunawaangaliaga tuCHADEMA ina influential gani Zanzibar ?
Zanzibar wana maamuzi yao hata wangekuwa CHADEMA, hakuna wa kuwazuia kufanya yao.
Ishtoshe Mbowe hana utakatifu huo wa kukataa nafasi kama hizo labda kama umezaliwa jana.
Ungekuwa unajua wanasiasa lao ni moja.Kumbe maridhiano ya kisiasa ni kugawana vyeo eeh ili marupurupu na ving'ora vifanye kazi.haa
Ni makosa Sana kuwatumia wazanzibar kuhalalisha uroho na marupurupu ya seif.Watu wameuliwa, wameteswa, wamevunjwa viuno leo tunasema wazanzibar wametaka maridhiano kwa seif kupewa ugali.Ndo maana mkitangaza maandamano yenu tunawaangaliaga tu
Haahaa nimekuelewa mkuu...Ungekuwa unajua wanasiasa lao ni moja.
Kosa kubwa wasilolitaka ni mtu kuwaamsha waliolalakama wewe.
Kwani hukusikia Kibwengo Jiwe akimwahidi Lissu cheo ?
Hivi unafikiri Lissu ni tatizo kwa CCM ?
Tatizo la Lissu linakuja pale anapopita mtaani anaamsha mazuzu yaliyolala,hapo ndio anakosana na watawala.
Sasa wewe hata usipoandamna wewe wanasiasa wanapata hasara gani .
Sana sana ni wewe kuisoma namba kikamilifu.
Tena sasa hivi wamenza kutunga sheria mbili mbili ( zinazodhibiti walalhoi na za kwao)
Sheria ya mafao,fao lakujitoa na vikokotoo na baadhi ya kodi haziwahusu wanasiasa.
Mnataka kuchangishana mumlipie?Ni vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza maswali mengi kama watanzania wengine, ila majibu sipati.
Zitto atawaambia nini watanzania kuanzia sasa? Hata watatetezi wake wanamchukuliaje?
Mwenye majibu atuambie kwamba Zitto Kabwe ni mpinzani au ni mtu wa haina gani maana kisiasa hajawahi kuaminika.
View attachment 1645023
ACT ilianzishwajeSiamini kama Zitto amehusika au amependelea suala la ACT kujiunga na Serikali ya Kitaifa kule Zanzibar!!