Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mhhhh, bado nafakari.
Mkuu kadakokigondile Nipe mji usiokuwa na jina hapo Tanzania na uliyesahaulika kimaendeleo mji gani huo ?Nimeshindwa nikupe mji gani?
Milimani Mwanza ndipo mahala paliposahaulika maana hakuna miundo mbinu ya aina yeyote ile, ila nimewashauri wakamuone Mh Magu Mzee wa Chato labda katika bajeti yake anaweza kuwawekea japo ka flyoverMkuu kadakokigondile Nipe mji usiokuwa na jina hapo Tanzania na uliyesahaulika kimaendeleo mji gani huo ?