Kisia huyu ni nani?

picha duka chochote chawezekana, mwisho ni pale unapoishia kufikiria
 
yaani wazungu kweli hawataki kutawaliwa na Mtu mweusi na nywele za kipilipili,
Naona picha hii ya photoshop itamuwezesha kupata kura nyingi huko USA
 
Slaa huyo ndo Kawa mweupe hivyo Kweli milioni 7 kwa mwezi si mchezo
Kwani Sindbad wenu a.k.a. John Walker/JK analipwa milliooni ngapi vile kwa kuzurura dunia nzima? Ndiyo maana kapauka mithili ya mwanga
aliyejipaka unga?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…