Kishika uchumba ni shilingi ngapi?

Kishika uchumba ni shilingi ngapi?

Hahaha mkuu inategemea mwaka mmoja na nusu uliopita mie niliweka 50,000

Sent from my GT-N7105 using JamiiForums mobile app
 
pesa yoyote mkuu

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Kawaida elf 50 hata elf 10 unaweza

Sent from my HTC Desire 526G dual sim using JamiiForums mobile app
 
Kishika uchumba kiwango chake kinategemeana na kabila husika Pamoja na kipato cha family husika sio uniform kwa kila kabila na family..
Mostly inayo kuwa applicable ni kuanzia 60,000 to 150,000 hivyo angalia kipato chako na cha ukweni kwako

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Usikalili jamaa angu...manji na wewe hamuwez kufanana kishika uchumba...pambana na hali yko

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Millioni 1

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Weka lak 5

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Laki 5 mkuu si ndio anakuwa ameshatoa mahari kabisa, makabila mengine mbona wana complicate mambo hivi. Sisi kwetu hakuna cha barua unatuma wazee wakajitambulishe tu then wakikubaliwa wanapangiwa siku ya kuja kuzungumzia/ kupangiwa mahari

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
WW KULA MZIGO KWANZA WENYEWE WATAKUPATIA MCHUMBA WAKO
hujala unawawekea buku 5 au milioni 5
mtoto asipokupenda akaendelea kubanduliwa si utajingonga/
kishika UCHUMBA ni kwa mababu na mabibi zetu si leo wakati wa mitandao
Duuuuu baba ww noma
 
Me kwa experience yangu kishika uchumba haina limitation unatoa kulingana na uwezo wako.nimehusika ktk matukio mengi ya namna hiyo wengi wanaweka sh 20000,30000+

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Jamani nataka nijue kabila la wafipa ama kwa ujumla makabila yote ni shilingi ngapi hela ya kuweka katika barua ya kishika uchumba (kujitambulisha uchumba)

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
hongera kijana, hapo weka 50000 tu ila kama hali yako kiuchumi iko safi na hiyo familia unayotaka kuoa binti yao iko safi basi weka laki kuendelea.

but tualikane mkuu siku ya pilau usinisahau mkuu!
 
Mi niliwekaga 15000 tu

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom