Kishika uchumba ni shilingi ngapi?

Kishika uchumba ni shilingi ngapi?

Weka lak 5

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Jaman nataka nijue kabila la wafipa ama kwa ujumla makabila yote n sh ngap ela ya kuweka katika barua ya kishika uchumba (kujitambulisha uchumba)

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Weka sh. 60,000
 
Shilingi 100 tu inatosha Mkuu kuonyesha nia yako ya kumchukua mrembo jumla jumla. Kila la heri na baraka.

Jaman nataka nijue kabila la wafipa ama kwa ujumla makabila yote n sh ngap ela ya kuweka katika barua ya kishika uchumba (kujitambulisha uchumba)

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
hahaha umenikumbusha jamaa ang mmoja kawatuma mjomba na rafiki ake wapeleke barua ndan kaweka 35000,wamechana wamegawana kumikumi imebak 15 elfu,mbaya zaidi alishawasiliana na mtarajiwa wake kua kesho mjomba ataleta barua na nimeweka 35 tu naomba muipokeee,duuh kilichotokea balaa tupu kumbe nae mtarajiwa alishawaambia kiasi kitakachokuepo kwenye hio barua
 
Back
Top Bottom