YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
Kuomba kuteuliwa kugombea uraisi ni kitu sensitive. Mhusika anatakiwa kuwepo mwenyewe. Atie sahihi mwenyewe kwenye forms ambako zipo sehemu hadi za viapo ambazo mwapaji anatakiwa kuwa mhusika mwenyewe sio wakala.
Katiba cha CHADEMA iko wazi inatamka kuchukua fomu ofisi ya chama sio mtandaoni na inatamka kuzirudisha ni ofisi ya chama sio mtandaoni
Katiba ya chadema pia haitamki popote kuwa mtu anaruhusiwa kuchukua fomu kupitia wakala na kuirudisha kupitia wakala kwenye katiba haimo!!!
Lisu anasema atarudi nchini tarehe 28 JULY 2020. Deadline ya kurudisha fomu za ugombea uraisi ni tarehe 19 July 2020 ina maana hatakuweko nchini fomu zikirudishwa. Je, kile kipengele cha kiapo cha kuthibitisha kuwa maelezo yote yaliyoko kwenye fomu na viambatanishi vyake ni sahihi atasaini wakala wake mbele ya katibu mkuu mpokea fomu ya ugombea urais?
Sababu kisheria ile sehemu inatakiwa ijazwe na kusainiwa na mhusika