Kisheria ni halali Lissu kuchukuliwa fomu na wakala, na wakala pia kurudisha fomu tarehe 19 Julai 2020? Hatakiwi kurudisha mwenyewe?

Unyonge niutoe wapi, mimi nataka uchaguzi ufike udhibitishe maneno yangu ya kila siku kuwa Magufuli hawezi ushindani kwa njia ya kura, na hata aweze. Unyonge utoke wapi kwa tabia ninayoijua?
Watanzania hawataki porojo wanataka matokeo. Mwezi wa nane Sgr Moro to Dar inaanza kazi. Sasa hapo utashindana nae?
 
Kuomba kuteuliwa kugombea uraisi ni kitu sensitive. Mhusika anatakiwa kuwepo mwenyewe. Atie sahihi mwenyewe kwenye forms ambako zipo sehemu hadi za viapo ambazo mwapaji anatakiwa kuwa mhusika mwenyewe sio wakala.

Katiba cha CHADEMA iko wazi inatamka kuchukua fomu ofisi ya chama sio mtandaoni na inatamka kuzirudisha ni ofisi ya chama sio mtandaoni

Katiba ya chadema pia haitamki popote kuwa mtu anaruhusiwa kuchukua fomu kupitia wakala na kuirudisha kupitia wakala kwenye katiba haimo!!!

Lisu anasema atarudi nchini tarehe 28 JULY 2020. Deadline ya kurudisha fomu za ugombea uraisi ni tarehe 19 July 2020 ina maana hatakuweko nchini fomu zikirudishwa. Je, kile kipengele cha kiapo cha kuthibitisha kuwa maelezo yote yaliyoko kwenye fomu na viambatanishi vyake ni sahihi atasaini wakala wake mbele ya katibu mkuu mpokea fomu ya ugombea urais?

Sababu kisheria ile sehemu inatakiwa ijazwe na kusainiwa na mhusika
Aje achukue form na kuirejesha mwenyewe ili tumshinde kwa kishindo kwenye sanduku LA Kura, asitengeneze mazingira ya kuondolewa kwenye kinyanga'anyiro kwa kukiuka kanuni, sheria na kanuni.
 
Ilikuwa ianze mwaka jana December. Halafu Dar-moro hakuna shida yoyote ya usafiri. So nothing special.
Ahaaa hapo dogo ndio huwa unachemka. Treni itakuwa elfu nne alafu fasta. Tofauti na basi. Lazima maisha yabadilike. Hata usafiri wa mizigo utakuwa cheap. Ile ya Moro Dodoma itakamilika fasta. Acha kuwa na mawazo mgando.
 
Fomu za ugombea unatakiwa kusaini mbele ya mpokea fomu uki certify mbele yake na mashahidi wakiwepo physically sio digitally ENEO LA KIAPO KUWA YOTE YALIYOMO NDANI YA FOMU NI KWELI NA NI YAKO MWENYEWE

UNA SAINI KWA MKONO WAKO MBELE YA MASHAHIDI
Hivi unadhani fomu za CCM ndio za Chadema?
Na mbona zile zenu mzee baba ameapa hatatoa wala kupokea rushwa lakini kawatwanga ubwabwa na wine wajumbe wote kwa fedha za kodi ya Watanzania?
 
Ahaaa hapo dogo ndio huwa unachemka. Treni itakuwa elfu nne alafu fasta. Tofauti na basi. Lazima maisha yabadilike. Hata usafiri wa mizigo utakuwa cheap. Ile ya Moro Dodoma itakamilika fasta. Acha kuwa na mawazo mgando.

Narudia tena, hakuna tatizo lolote la usafiri kati ya Dar-Moro, hivyo hiyo treni itaongeza ushindani tu katika vyombo vya usafiri. Lakini hakuna mwenye tatizo la usafiri njia hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Narudia tena, hakuna tatizo lolote la usafiri kati ya Dar-Moro, hivyo hiyo treni itaongeza ushindani tu katika vyombo vya usafiri. Lakini hakuna mwenye tatizo la usafiri njia hiyo.
Yaani nilipe 4000 kwa muda mfupi ni sawa na 8000 kwa masaa matatu? Comfortability?
 
Kuomba kuteuliwa kugombea uraisi ni kitu sensitive. Mhusika anatakiwa kuwepo mwenyewe. Atie sahihi mwenyewe kwenye forms ambako zipo sehemu hadi za viapo ambazo mwapaji anatakiwa kuwa mhusika mwenyewe sio wakala.

Katiba cha CHADEMA iko wazi inatamka kuchukua fomu ofisi ya chama sio mtandaoni na inatamka kuzirudisha ni ofisi ya chama sio mtandaoni

Katiba ya chadema pia haitamki popote kuwa mtu anaruhusiwa kuchukua fomu kupitia wakala na kuirudisha kupitia wakala kwenye katiba haimo!!!

Lisu anasema atarudi nchini tarehe 28 JULY 2020. Deadline ya kurudisha fomu za ugombea uraisi ni tarehe 19 July 2020 ina maana hatakuweko nchini fomu zikirudishwa. Je, kile kipengele cha kiapo cha kuthibitisha kuwa maelezo yote yaliyoko kwenye fomu na viambatanishi vyake ni sahihi atasaini wakala wake mbele ya katibu mkuu mpokea fomu ya ugombea urais?

Sababu kisheria ile sehemu inatakiwa ijazwe na kusainiwa na mhusika
Nilichogundua Lissu hana nia ya kurudi nchini wala kugombea ur a is,anachokifanya ni kutaka asisahaulike kwa mashabiki wake,awe anatamkwa kila mara,nikuhakikishie chadema hairampitusha na tarehe aliyoitaja hatakuja,amini
 
Back
Top Bottom