Kisheria ni halali Lissu kuchukuliwa fomu na wakala, na wakala pia kurudisha fomu tarehe 19 Julai 2020? Hatakiwi kurudisha mwenyewe?

Kuomba kuteuliwa kugombea uraisi ni kitu sensitive. Mhusika anatakiwa kuwepo mwenyewe. Atie sahihi mwenyewe kwenye forms ambako zipo sehemu hadi za viapo ambazo mwapaji anatakiwa kuwa mhusika mwenyewe sio wakala.

Katiba cha CHADEMA iko wazi inatamka kuchukua fomu ofisi ya chama sio mtandaoni na inatamka kuzirudisha ni ofisi ya chama sio mtandaoni

Katiba ya chadema pia haitamki popote kuwa mtu anaruhusiwa kuchukua fomu kupitia wakala na kuirudisha kupitia wakala kwenye katiba haimo!!!

Lisu anasema atarudi nchini tarehe 28 JULY 2020. Deadline ya kurudisha fomu za ugombea uraisi ni tarehe 19 July 2020 ina maana hatakuweko nchini fomu zikirudishwa. Je, kile kipengele cha kiapo cha kuthibitisha kuwa maelezo yote yaliyoko kwenye fomu na viambatanishi vyake ni sahihi atasaini wakala wake mbele ya katibu mkuu mpokea fomu ya ugombea urais?

Sababu kisheria ile sehemu inatakiwa ijazwe na kusainiwa na mhusika
Shera ipi?
 
Tundu Lissu anatimiza wajibu wake wa kikatiba wa kuomba wafuasi wake watekeleze taratbu zote za kuchukua fomu za kugombea uraisi na kuzirudisha Ubelgiji.

Njia wanayotumia ni DHL au kampuni zingine za kusafirisha vifurushi au kwa mkono kupitia wawakilishi wake kuhakikisha havuki "Deadline day" ya tarehe 23 Julai.

Anatimiza wajibu wake wa kikatiba japokuwa kiufundi haiwezekani kwa Tundu Lisu kuwa mgombea uraisi wa CHADEMA wakati ACT wanamuandaa Bernard Membe kuwa mgombea wa umoja wa upinzani kama ilivyokuwa kwa Edward Lowasa.
 
Hata kugombea anaweza kugombea akiwa nje ya nchi na akashinda aakaja siku ya kuapishwa tayari akiwa na ulinzi. Hii imetokea nchi nyingi tu kwa sababu mazingira yanapelekea mtu kuwa nje ya nchi yake kwa usalama wake

Ni nchi ipi hiyo ndugu? tufahamishe.
 
Nilichogundua Lissu hana nia ya kurudi nchini wala kugombea ur a is,anachokifanya ni kutaka asisahaulike kwa mashabiki wake,awe anatamkwa kila mara,nikuhakikishie chadema hairampitusha na tarehe aliyoitaja hatakuja,amini

Hayo ndio matamanio yako.
 
Umekuwa mtu wa kulialia tu baada ya kujua Cdm itapigwa vibaya kwenye uchaguzi.
Kwa ushindani wakura au vyombo vya dola.

Nakuapia Kwa majina yote ya Mungu ccm haitashinda Kwa ushindani halali WA kura na hilounalijua.

Nguvu kubwa wanaielekeza kupata msaada WA vyombo vya dola.

Jinsi mnavyoshinda katibu wako ameshaeleza.
 
Chadema hii ya wavuta bangi na wanywa konyagi? Na nyie mnataka madiwani na wabunge?
 
Nina imani kabisa kupitia tume ya uchaguzi kutakuwa na vifungu vinavyomzuia mtu ambaye hayupo nchini na hajawa nchini kw muda mrefu kuhusiwa kugombea urais.Huko kwenye chama chake anaweza akapitishwa lakini akagonga mwamba kwenye tume. 😝😝😜
 
Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kawanza ataweza kumuwekea Lissu pingamizi na akamshinda. Watchout!!!
Lissu anatoa taarifa za kufuatiliwa na gari isiyojulikana 2017

"hatufanyii kazi taarifa za kishabiki za mitandaoni sisi"

Lissu anatangaza kurejea 2020

"hata Hivyo tumeona katika mitandao ya kijamii baadhi ya viongozi wa Chadema wakihamasisha wananchi kukusanyika.

Kuna watumishi wana akili mbovu sana
 
Ni msaliti wa nchi ndiyo maana watz wanamuongelea sana!

Back
Top Bottom