Kisheria ni halali Lissu kuchukuliwa fomu na wakala, na wakala pia kurudisha fomu tarehe 19 Julai 2020? Hatakiwi kurudisha mwenyewe?

fomu alichukua mwenyewe personally na kurudisha alirudisha mwenyewe personaly na kusaini kiapo personally kuwa contents zote kwenye fomu zake

Lisu fomu kachukuliwa na kurudisha hatakuwepo nchini wakala atarudisha yeye personnaly hatakuwepo kusaini eneo la kiapo mbele ya katibu mkuu personally

Kama yeye ndio mmiliki wa kundi la watu wasiojulikana, ataacha kuwepo na kusaini yeye personal?
 
Hata kugombea anaweza kugombea akiwa nje ya nchi na akashinda aakaja siku ya kuapishwa tayari akiwa na ulinzi. Hii imetokea nchi nyingi tu kwa sababu mazingira yanapelekea mtu kuwa nje ya nchi yake kwa usalama wake
 
Mbona swali lako siyo gumu, Ndiyo fomu itarudishwa na wakala na kura zitapigwa mtandaoni, una swali lingine mkuu??
 
Huwa una lala na kuamka kama unaota. Unajua hiyo fomu ni ya NEC au ni mchakato ndani ya chama? Usiandike tuu ili uonekane ume anzisha mada
Hata za chama zina sehemu ya kiapo ukishajaza ukazunguka kutafuta wadhamini ukirudisha kuna sehemu ya kiapo ya kusaini kuwa hizo taarifa ulizoweka ni sahihi na kweli kisheria
 
Hata kugombea anaweza kugombea akiwa nje ya nchi na akashinda aakaja siku ya kuapishwa tayari akiwa na ulinzi. Hii imetokea nchi nyingi tu kwa sababu mazingira yanapelekea mtu kuwa nje ya nchi yake kwa usalama wake
Katiba za nchi zao zinaruhusu hilo sisi katiba za vyama na katiba ya nchi haviruhusu
 
Ni halali kukusanya wajumbe kutoka Tanzania nzima kumpigia mwenyekiti kura ya ndiyo pale Dodoma.
KUKUSANYA watu sio halali hata kidogo. Ila KUJIKUSANYA ni halali kwa mujibu wa katiba wananchi wana haki kukusanyika.
 
Unafahamu the law of agency lkn.....
ama umekurupuka tu....
LISSU ni mwanasheria hivyo vitu amesha vipima
anajua.....
 
Hata za chama zina sehemu ya kiapo ukishajaza ukazunguka kutafuta wadhamini ukirudisha kuna sehemu ya kiapo ya kusaini kuwa hizo taarifa ulizoweka ni sahihi na kweli kisheria
Kwani wewe unaona ni kazi kubwa saaaana Lissu kuzisaini akiwa Ubelgiji?
 
Ni msaliti wa nchi ndiyo maana watz wanamuongelea sana!

Amesaliti nchi yenu nyie washirikina na wachawi?

Yaani CCM tu eti ndiyo wanaona usaliti na kuueneza kwa maneno ya kanga yasiyo na evidence....

Eti evidence ni kwanini anaongea kuhusu nchi na Magufuli akiwa nje ya nchi....!

Absolutely, stupid and wicked argument....
 
Back
Top Bottom