Mzee
Platinum Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,868
- Thread starter
- #21
Nimeleta uzi hapa nikiwa na malengo makuu mawili.
#1. Abiria kuwa makini na haya magari ya Kisbo.
#2. Menejimenti ya Kisbo kuacha kuendesha mambo Kisanii sanii...
Sisi abiria tunapochagua gari huwa tunaangalia vigezo vingi.
Kufaulishwa ktk gari lingine sio shida ila walau mngetutafutia gari zuri...