Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,255
Unataka liwaje dada?Hili ni nalo ngoja tuone itakavyokuwa
Mama miaka 100, kazi.iendeleeHaya mambo tuliyakosa kwa miaka 5 iliyopita. Tunataka viongozi watakaotupa ardhi, usalama wa raia, siasa safi na utawala bora.
Tuwe wavumilivu mama ataleta vyote hivi. Nchi imeteseka sana chini ya mwendazake.
Kwamba anajipromosisha?Nikki ana accounts kibao humu!
Wewe unazi ngapi?Nikki ana accounts kibao humu!
Humu mtandaoni hakuna watu?Hongera kwa jambo zuri hilo, linaweza kupunguza sana migogoro ardhi baina ya wafugaji na wakulima.
ANGALIZO.
Ni vyema DC mpya wa Kisarawe akaachana na hizi promo za mitandaoni, mwisho wake huwa ni mbaya. Ajifunze kwa waliomtangulia. Aache makeke, achape kazi.
IendeleeNiki katika ubora wako, kazi iendelee.
Kabla sijakujibu hebu sema kwanza wewe ni nani?Kumradhi, mkuu wewe ni chawa wa nikki wa pili ama ni nikki mwenyewe!?
Kwa haraka haraka nimeona si chini ya nyuzi tano umeanzisha za kumhusu niki wa pili.
Wewe umeacha?Ameshaacha bangi?
Ushindane na mimi? UtawezaTutakuwa tunashindana sasa