Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,947
- 43,617
Kwkweli hapa lazima chama tukilaumu kwa kukubali kiongozi kama huyu mwepesi kiasi hiki! Yani nccr nawaonea huruma sana!
Halafu wakati mwingine nakilaumu chama changu Chadema ilikuwaje wakapitisha kituko hiki kugombea ubunge Lushoto?
Come on Dr Slaa this boy was too low for Chadema....!