Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,671
- 149,853
Huyu mtu watu mnaweza kumuona kama amechanganyikiwa ila mimi naona kama kuna mtu anamponda kiaina.
Inawekana pia anajaribu kuchambua maisha ya watanzania na tabia zao au kuonyesha wanaishi maisha gani kwa sasa(anawaongelea watanzania wengine kupitia yeye).
Kama sio hivyo basi kuna utafiti usio rasimi anajaribu kuuufanya hapa JF au ana special mission/assignment hapa mtandaoni.