Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

Cjataja kidato mbona itakuw 4 au 6 [emoji16]
 
Huyo jamaa yuko poa sana!!! Kama Mimi tu, ingawa kwangu wadada hawaitongozeshi, labda kama wabanimezea mate kimyakimya!!! Wivu, hasira, katili.
 
Apologising doesn't always mean you are wrong and the other person is right, it sometimes shows that you value the relationship than your ego. Alisikika mlevi mmoja
MLevi yupo right kabisa atakuw level ya professor uyo...
 
Safi kabisa mzee!!!
Swali la msingi Kama unajua hapendi hvyo vitu kwann upost? Hayo maneno!!!!!! Mbona Kuna lugha nyepesi tu!!!!!

Kuna vitu vingne mnavitafuta wenyewe!!!!!!¡!???

Ukifuata utaratibu wa kabila lako na taifa lako hutogombana nae!!!!!!!!!!
 
Yaan .. Kuna kipindi pia niliwahi kuishi maeneo flani yaan ndo nikajikuta na mimi wa mambele ndo maan unakuta napost kitu nasahau kabisa kama hii ni tanzania
Kama ulikua haujui definition ya Shobo ndio hiyo ya kwako kwa hao Wazungu;unaonesha ni mtu wa kupapatikia sana foreigners,huyo mtoto mwenzio ashukuru ametua time bomb
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…