Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,105
- 828,999
Kesho tutakupima mkojoHuyu jamaa ana roho mbaya sana
Hata lisura lake linaonesha.
Mshana jr, kusema kweli hatukuogopi, naona siyo muda utapimwa mkojo..! kunywa maji mengi hatutataka hooh... Mkojo hautoki kipindi cha kuchukua sampuli.!
Mshana jr, kusema kweli hatukuogopi naona siyo muda kunywa maji mengi hatutataka hooh... Mkojo hautoki kipindi cha kuchukua vipimo..!
Endelea utaona..!
kuchele....
Duuh asee katoa mimacho kamera man ajakimbia kweli
Duuh asee katoa mimacho kamera man ajakimbia kweli
Hii inaitwa nikanyage bahati mbaya nikuumize makusudi,yaani kishari zaidi
Huyu jamaa ana roho mbaya sana
Hata lisura lake linaonesha.