Nakumbuka nikiwa bado nasoma NYEGEZI SEMINARY miaka ile ilitokeaga msala flani hivi wa kutazama TAMTHILIA YA JUMONG ya kikorea , sasa siku moja wajuba tukaibuka kutazama eboooooooo ilikuwa after. Night player kanisani wajuba tukaibuka. Mida ya saa 5 hukoooo. Usikuuu. Dining hall maana ndo tv iliko , ikawashwa , tukacheki. ,,, Dah siku hiyo mlinzi alitushtukia akaenda kumuita.GAMBELA (rekta) Yaani mkuu wa shule (walo soma seminary wanajua nini maana AKE )
Inaendelea.........
Msala ulitokea hapa. Mara ghafla mlango. Ukafunguliwa hai paaaahhhj!!!!! Mlinzi na gambela hapooo mlangoni aseeee siku hiyo tulivunja viooo vya madirisha Ili kupita maana ilikuwa usiku,,,ikasaidia kutokukamatwa ....
Asubui yake baada ya Misa. Tukabaki kanisani ....halooooooooó matumbo jotoooooo TV Leader akaitwa akaambiwa ataje wote
hahhhhhh. Dah
Almanusura tulinusuria maana ilikuwa ni kufukuzwa ,,,sema walo tajwa wakapewa adhabu tuuu ,,, maisha. Yakaenda.....
I remember those days at. NYEGEZI SEMINARY mwanza...