Mimi nilifumaniwa na mke wa mtu, si mara moja ila mara kibao na siachi ngoo.
jamaa anaona sifa kufumaniwa kuna siku ataliwa kiboga sijui ataika hewani hiyoza asubuh? BADILI TABIA wewe kilishakusibu nin?
Mimi nilifumaniwa na mke wa mtu, si mara moja ila mara kibao na siachi ngoo.
Kuna dada tulikua tunasoma nae UDSM sasa alikua anainama afute vumbi kwenye viatu alikua mbele yetu wakati anainama akaachia bonge la shuzi bila kutarajia daaa aliona aibu kinoma,kama yupo humu JF aje haitoe hii aibu aliyoipata!!!
King Kong III....hahaha umenichekesha ukizingatia saivi nipo apa UD kikazi..njoo hapa TC lab utanikuta!!!Kuna dada tulikua tunasoma nae UDSM sasa alikua anainama afute vumbi kwenye viatu alikua mbele yetu wakati anainama akaachia bonge la shuzi bila kutarajia daaa aliona aibu kinoma,kama yupo humu JF aje haitoe hii aibu aliyoipata!!!