Kisa hiki kingekutokea ungefanya nini?

May 22, 2017
65
298
Kuna rafiki yangu alikuwa kwenye chumba cha Hotel moja hivi hapa mjini DSM, Alimwambia muhudumu wa ile hotel na kumuomba kuwa amletee dada poa na anayejiuza aje kulala naye hawezi kulala mwenyewe pale.

Baada ya dakika 30 Muhudumu alikuja na Mwanamke ambaye bila kujua kumbe alikuwa ni Mke wa yule Jamaa (mume&mwanamke wakashtuka paaaaap! Halaf kila mmoja akaangalia chini bila kusemeshana chochote)

1. Ingekuwa wewe ni yule mwanaume ungefanyaje?

2. Ungekuwa wewe ni yule mwanamke ungefanyaje?

3. Ungekuwa wewe ni yule muhudumu ungefanyaje?

(kwa ujumla ungetoa neno gani la Msingi kwa tukio hilo?
 
Intact,
... hizi mambo huwa zinatokea na jibu ni jepesi mno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom