Mr Mayunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 313
- 40
Habari zenu wadau, nina mpenzi ambaye tuna mwezi tokea tulipoanza kujuana.
Juzi jioni alileta mwanaume mwingine katika chumba chake na alilala na akaondoka asubuhi.
Niligundua asubuhi baada ya kuwahi kuamka,niliwaona wakitoka nakumsindikiza kuelekea barabarani tayari kwakusafiri.
Mimi na huyo msichana tunaishi jirani sana.
Sasa baada hakujua nimejua alichokifanya hataki kuniona wala kuzungumza lolote.
USHAURI TAFADHALI