Kisa elfu 30 kagoma kuja ghetto

Kisa elfu 30 kagoma kuja ghetto

Mada tajwa yahusika
Leo nlikua na miadi na baby wangu yule wa kunipunguza uzito na yeye mwenyewe aliniambi ukitoka Job nishtue
Nlipotoka job nkamwambia natangulia ghetto akasema poa mi najiandaa
Kabla sijafika home msg inaingia ,"Sweet nna shida ya elfu 30 nikopee AF mi ntakurudishia mpnz"
Nkamjibu "mbona ghafla sina Kwa kukopa hela saa hivi katikati ya mwezi" na "mwenyewe hapa nna madeni mengi mno"
Akajibu "hata nusu"
Nkamwambia haiwezekani hali mbaya saa hivi katikati ya mwezi.

Hadi naandika Uzi huu demu simwoni ghetto
Demu wa miaka 21 ni tabu tupu
hahahaaa, mpe kwanza hayo mawe ili afaidike, hiyo ni biashara, nipe nikupe nao wanaogopa kupigwa maneno matupu
 
Kama elf.30 inakushinda tena hata kwa kukopa nakushauri achana na mambo ya mademu kwa sasa maana inaonekana hata rafiki mwenye pesa huna. Kijana tafuta pesa kwanza ukiwa financially stable mapenzi utayaona raha
Hahaha....tatizo si kuwa na elfu 30...issue ni hizo 30 anatoa kwa wangapi.....usikute jamaa anamizinga kama 6 hivi;sasa hapo lazima ujitafakar kidogo...otherwise utakua unafanyakazi kwa ajili ya chini tu
 
Mada tajwa yahusika
Leo nlikua na miadi na baby wangu yule wa kunipunguza uzito na yeye mwenyewe aliniambi ukitoka Job nishtue
Nlipotoka job nkamwambia natangulia ghetto akasema poa mi najiandaa
Kabla sijafika home msg inaingia ,"Sweet nna shida ya elfu 30 nikopee AF mi ntakurudishia mpnz"
Nkamjibu "mbona ghafla sina Kwa kukopa hela saa hivi katikati ya mwezi" na "mwenyewe hapa nna madeni mengi mno"
Akajibu "hata nusu"
Nkamwambia haiwezekani hali mbaya saa hivi katikati ya mwezi.

Hadi naandika Uzi huu demu simwoni ghetto
Demu wa miaka 21 ni tabu tupu
Hahahahahha
 
Mtu mzima kudate na hawa wasichana wenye umri chini ya miaka 25 ni kujitafutia matatizo tu.
 
Mada tajwa yahusika
Leo nlikua na miadi na baby wangu yule wa kunipunguza uzito na yeye mwenyewe aliniambi ukitoka Job nishtue
Nlipotoka job nkamwambia natangulia ghetto akasema poa mi najiandaa
Kabla sijafika home msg inaingia ,"Sweet nna shida ya elfu 30 nikopee AF mi ntakurudishia mpnz"
Nkamjibu "mbona ghafla sina Kwa kukopa hela saa hivi katikati ya mwezi" na "mwenyewe hapa nna madeni mengi mno"
Akajibu "hata nusu"
Nkamwambia haiwezekani hali mbaya saa hivi katikati ya mwezi.

Hadi naandika Uzi huu demu simwoni ghetto
Demu wa miaka 21 ni tabu tupu
umeahindwa hata kumwambia njoo geto utakuja takupa huku coz tigo pesa yangu haifanyi kazi
 
Hivi vitoto vinahitaji Uwe na hela mkuu. Otherwise jikite kwa wahudumu wa Kangaroo na Meridian (Masai Bar). Hapo unakuta alituma meseji Kama hizo kwa watu watano tofauti. Mmoja aliyetuma Dau mapema na kulipia usafiri apelekwe Rombo Green View Hotel kwenye AC ndio anajitafunia vyake. Huku wewe ulitegemea adandie Bus na kuja Ghetto kwenye kifeni kiuno na choo cha nje unalalamika hapa JF.
Tafuteni hela Vijana. Mapenzi ni matamu zaidi ukiwa "Financially Secured".
 
Nashangaa saana,.mnamshauri atafute watu wazima, kwani hao wanagegedwa bure?
 
Asa mkuu unalalamika kutofanya dhambi? ONLY IN THE THIRD WORLD COUNTRIES
 
Mida anatuma msg nimetoka kulipa kodi bank yani alichelewa kidogo Sana mkuu,halafu siwezi kuingia madeni kisa mchepuko akizingua atambae zake mkuu



Loooh! "Sizitaki Mbichi Hizi" atii ni mchepuko atambae zake! Mbona kakuacha solemba umekuja kumshtakia jamiiforum??
Muite mkeo sasa akutoe huo uzito
 
acha kulialia mkuu wee ulitaka umpande tu bila kumpa pesa ya kununulia sabuni mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom