sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
- Thread starter
- #41
hakuna cha mrejesho wewe ndo nilio wasema ukweli umekuingia byeeeeee jioni njema.Ndugu zangu nimelazimika kuja na uzi huu, niseme kweli nilitamani sanaa nije na uzi huu endapo Mwenyezi Mungu angeweza kumchukua ndugu Pascally Mayalla kwa maana baada ya KUFA.
************
Yapo mawili ya kutohoa hapa;
1. Wewe unaugomvi binafsi na Pascal Mayalla au
2. Umeamua kutumia jina lake kuupa uzi wako millage
****
Pili awali ya kuingia kwenye kiini cha bandiko langu, naomba niombe radhi dhidi ya mwandiko wangu hakika unauzi hasa pale unapokuwa hauleweki natambua usumbufu ninao kusababishia wewe msomaji wa nyuzi zangu.hakika ili ni tatizo ila nitalikabiri kwa haraka na kuliondoa yaani ili sio kama janga la corona ili ninalimudu.
******************
Kwa mwandiko huu hiyo Degree ungekua mwanamke tungesema ni ya PICHU sasa kwa kua u kijana wa kiume 'ulimi koma ninaye mtoto wa kiume' na ninauchukia u half-caste.
Aidha mimi ningekua Mhariri wewe hata By line usingepata kwakua lengo kuu la muandishi ni kuandika nawe hujui kuandika na umekiri hivyo.
***********
Niliwai gombana na mhariri wa gazeti moja aliyenituma siku moja nitoke nyumbani mapema niende habar maelezo kusubili habari za kuletewa mezani, badala yake mm nilimwambia naingia mtaani kutafuta habari badala ya kwenda habar maelezo, mhariri alikasirika sana siku hiyo.
*********
Nakumbuka nilikuwa na sinior mmoja anaitwa Daniel MBEGA sijui yupo wapi mhariri nguri huyu bwana, alinituma niende Jangwani nikakave stori ya walimu walio andamana kwa kutoongezewa mshahara
***********
Tabia ya ujuaji, ukaidi, ubishi na kutokusikiliza maagizo ya Wakuu wako wa kazi ndivyo degree zenu zilivyowafunza?
Aidha yawezekana hata huko benki uliposema unafanya kazi sasa hivi wanatafuta namna ya kukutimua tu kutokana na tabia ya ujuaji na ubishi
Waneni walisema
NDEGE MMOJA ALIYE MKONONI SI SAWA NA WAWILI WALIPO PORINI.
**************
Hapa sidhani kama ninaweza kueleweka. Sisi tuliomaliza chuo kikuu enzi hizo ilikuwa ni ngumu sana kupata kazi kwenye magazeti au redio zetu zilizokuwepo nchini; si kwa sababu za waajiri hawakuwa na uwezo tu, bali pia waajiriwa wengi waliokuwa studio walikuwa ni sumu kwa graduates, yaani walikuwa sumu zaidi ya wachawi.
**********
YAANI WALIKUA SUMU ZAIDI YA UCHAWI hivi wewe aliyekufundisha kiswahili ni nani? Wallah uandishi wako unatia kinyaa na maneno yako yanaamsha hasira za kifasihi.
**********
Mie ni sifileo viko visa ntakuwa nachomoa kimoja baada ya kingine.(niliowataja nisameheni ila ukweli umetoka kifuani mwangu mkiwa hai kama mkiisi mlitenda dhambi vema kutubu kabla ya izirael wa corona hajakufikia.)
***********
Mkuu nani kakuhakikishia Jambo Hilo kwamba hufi leo? Tafadhali nijaalie nami mawasiliano naye ili niijue nami tarehe yangu.
MY TAKE
Hiki ndicho kinachoiangusha jamii yetu ya Kitanzania kwa kukumbatia MALALAMIKO na kuhisi kuonewa badala ya kuja na SULUHISHO la MATATIZO yanayotukabili.
Tujifunze kufanya self analysis, ya kile tunachojiaminisha kwamba tunakijua.
TUKUTANE KWENYE MREJESHO
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app