Kisa cha wanahabari wasomi kutokuwepo Newsroom, uwepo wa akina Pascal Mayalla Newsroom ilikuwa sumu zaidi ya uchawi

Mbaya zaidi, ni mtu amesoma miaka hiyo. Yani graduate asiuejua Kiswahili alitarajia apate ajira kwenye taasisi za Habari? Umeonesha kwa nini wahariri wote walikukataa. Inasikitisha zaidi kuwa bado hujajitambua kuwa Lugha yako ya Kiuandishi ni mbovu kuliko ya Vijana wa Kawaida wa Mitaa ya Uswahilini. Pia unaamini kwa kufanya kazi Benki umewapita akina Mayalla. Walimu wako wa Chuo Kikuu wangekuwa wanasoma ulichokuwa unaandika, usingemaliza hata mwaka wa kwanza. Badilika. Anza upya kusoma. Maana elimu haina mwisho. Walau uweze kurekebisha A na H.

Sent using Jamii Forums mobile app
nmefurah umeelewa msingi wa andiko langu sema unajitia upofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JINGA ALIE KUTAFTA USIKU WA MANANE AKIWA UCHI.
Aisee ... Bank nako nadhani huwa hawazingatii akili ya mhusika.wewe unaandika pumba hivi unasema ulitaka uwe mwandishi wa habari? Ili uwe unaandika madudu haya kwenye magazeti tunayosoma sisi? Tafadhali tutake radhi.huwezi kutudharau sisi watu wazima kiasi hiki.kutaka kutuandikia habari maana yake umetuona sisi ni mafala sana. Wewe hujui kujieleza. Hujui kuandika ulitaka kuwa mwandishi wa habari?

Huko bank wewe ndo utakuwa yule jamaa fala aliyekosea kuandika jina langu kwenge ATM card pamoja na kumwandikia kiusahihi yeye akaenda badilisha herufi.

Jinga kabisa. Tuombe radhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwege wewe ndo maana tunasisitiza sana matumizi ya condom.kama condom ingetumika leo kusingekuwa na takataka kama hii. Yaani wewe unathubutu kumshambulia Pascal Mayalla ? Huoni hata aibu? Unaandika kabisa ukionesha huna uelewa na unachotaka zungumzia na
bado unaamini upo sahihi. Miaka yetu wewe tungekutandika viboko hadharani.

Umedhalilisha sana Elimu maana unadai umesoma lakini nadhani hukuelimika. Unakuja kuandika hapa ukidhani unaonesha una msimamo kumbe unaonesha ulivyo kichwa maji.sehemu zote waandishi wakongwe na wahariri walikuwa wakikufanyia interview endelevu.uka prove you are just a stupid arrogant boy who thinks he knows much.

Unaandika mambo ya hovyo hovyo hapa ukitegemea wavulana wenzio wakupongeze.niambie upo bank gani if kweli unafanya kazi bank.ingawa inawezekana pia ukawa ni mfanya kazi bank but ni kilaza maana banks nazo zinaajiri watu wa aina zote hasa miaka hii.

Wewe unawezaje kuja sebuleni tulipokaa wanaume na kuanza kushambulia waandishi wakongwe?wewe unamfaham stan katabalo ambaye amezungumziwa na pascal?that time ulikuwa hujazaliwa au unanyonya wakati sisi tunafuatilia loliondo gate. Mpaka anafariki na kifo chake kuhusishwa na uchawi ingawa tunafahamu alikuwa akiandika suala la kashfa ya loliondo. Pascal ameandika kumkumbuka huyo mwandishi ambaye ana umri kama wa baba yako au zaidi.

Wewe hujui kitu about that.hujui kuandika wala kupanga hoja zako.unakuja shutumu watu wenye akili.pascal usimjibu mtoto huyu mdogo ambaye bado ananuka maziwa na mkojo.akipata akili siku moja atakuja kuomba msamaha.kwa sasa mwache tu.

JINGA ALIE KUTAFTA USIKU WA MANANE AKIWA UCHI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paschal asihangaike kumjibu, vijana wa degree za Siku hizi za kupewa wasitutishe, Mimi nimesoma intake ya akina Bujaga Kadago Nyegezi NSTI Mimi nilikuwa nasoma kozi nyingine lakini ubora na weledi wao japo wakati ule walisoma diploma huwezi linganisha na vididgree vya leo vya kusomea koridoni. Huyu dogo anapashwa kuomba radhi kabla ya Mayala kuchukua kalamu.
 
Back
Top Bottom