Kisa cha Sindbad baharia na safari saba

Kisa cha Sindbad baharia na safari saba

Sasa mbona umetuachia njiani?.
Wangine sisi niwalevi wa hadithi.
 
Moja ya hadithi zinazopatikana katika kitabu cha alfu lela u lela (siku elfu moja na moja). Vitabu vipo tisa,kisa hiki kinapatikana katika kitabu cha pili.
Wale wapenzi wa vitabu mnaweza mkajitafutia mkasome visa kwa urefu na kwa nafasi.
Hivi havijatoka tena vingine mpaka Leo? Maana nami ninavyo tisa nasubiri muendelezo wa Vitabu vingine.
 
Back
Top Bottom