Kisa cha Sindbad baharia na safari saba

Kisa cha Sindbad baharia na safari saba

Wapi kinapatikana maana nakumbuka syllabus yetu ya Darasa la tano 1970. Kingine kilikuwa Hekaya Za Abunwas. La sita Mashimo ya Mfalme Suleiman. Darasa la nne tulikuwa na Hadith za Hiawadha na Hadith za Essopo. Darsa la tatu tuna Robinson Crussor. La kwanza na la pili tuna Someni kwa Furaha unakutana na Paulo mchafu usje kucheza na sisi, Safari za Bulicheka na Wagagagigikoko wake!!!!
Robinson Crussor,umenikumbusha mbali mkuu japo mm sio muhenga
 
Back
Top Bottom