Kisa cha Ruge na Historia ya Maisha yangu

Kisa cha Ruge na Historia ya Maisha yangu

Sikuhukumu kwa lolote Ila unajua ndoa ni nn? Ukishajua na ukaiishi huo usaliti ni akili yako...ktk maisha usiposimamia cchte lazima utaangukia popote,weng wa wasaliti hawaanzi ndan ya ndoa Ila weng ni tabia mienendo yao waliyoi hagua na Mara nying watu hawa huacha mwili wao uiongoze akili so lazima ukutane na mkwamo,sisi wanadamu tunapswa akili zetu ndio ziendeshe mwili na dhamira Ila ukiwa tu na tabia ya wanyama ambao wao wanatawala mazingira yanaowazunguka ndio wwngi wao wanakuja kulia lia huku. Usaliti ni kutowajibika ipasavyo kwa mwezi wako na mahusiano yakifa jua wote mmeshindwa kuwajibikiana.. Ila ni ukosefu wa maadili na tamaa ndio unawaruhusu wahusika waish pamoja bila ndoa maana hakuna kitabu cchte cha dini kilichoelezea ishi nae kwanza ndo umuoe hakuna na hakitawah kutokea
Kitabu hakiondoi hulka ya mtu, icho kitabu kaandika nani vile?
 
Ila hii issue ya ruge wanawake wameishikia bango sana..!
Ila ukiuliza wakutajie wanawake waliozaa na jamaa sidhani kama wanawajua..! Ruge anaweza kuwa ni malaya ndio.. Ila naona kama amekuwa muhanga wa wanawake waliowahi kutendwa na mabwana/waume wao..!

Labda ntakuwa sijui. Naomba wadada humu ndani waniletee wanawake aliozaa nao ruge, ikiwezekana na idadi ya watoto wake..! Isije ikawa ni rumors tu..!

Cc.
Numbisa, Miss Natafuta miss chagga etc..
 
Pole sana boss japo sijaona mfanano wa ishu hizi mbili
 
Wakuu JF,

Kwanza kabisa, nampa pole Boss Ruge na nimuombe awe na uvumilivu kwa sababu akianza kumfuatilia huyo Zam itazidi kumuumiza sana, huu ni upepo tu na haya yote yatapita na kusahaulika. Nina imani kuwa Boss alimpenda sana huyu mwanamama anayejiita Queen of Host The Bongo movie, ambapo nafasi hiyo kaipata siyo kwa nguvu yake tu bali mtu wa maana nyuma yake alikuwepo, sema shida ya wanawake husahau walipotoka, wakipata umaarufu wao radhi kukuhadhirisha bila kujali nafac yako mwanaume ambayo una play part kwake.

Ruge kile unapitia sasa hata mimi nilipitia, sema katika sura tofauti, nakumbuka mara baada mpenzi wangu ambaye yupo humu JF kubeba mimba huku nikiamini mimi ni baba kijacho. Bac nili play part as a man ambaye soon nitaitwa baba nikijua safar ndiyo imeanza hivyo, nikiamini Mungu amenipa nafac ya kuujenga mji mpya na wenye nguvu.

Baada ya muda flan mpenz wangu alijifungua salama nikafurahi tukiwa kama familia, tukasema "THE GREAT LION HAS BORN" maana ni dume alizaliwa. Lakini mwisho wa siku mwanamke wangu akapona, na ikawa tunaangalia uwezekano wa kufunga ndoa, ili tuishi kihalali.

Kwa kweli mwanamke huyo akaanza kua mzito kwenye kushuhulikia taratibu za pamoja hasa mambo ya mafunzo ya ndoa kanisani, maana tulishapeleka majina yetu. Maana hivi ndiyo vitu vya muhimu katika kujiandaa kuibariki ndoa, kuliko kufikiria sana ma sherehe sherehe.

Kuna kipindi mwanamke huyo alikuja kumuambia mama yake kwamba mtoto siyo wa kwangu na hajui itakuaje huko mbeleni na anaogopa ndoa ifungwe, kwan moyo wake unamsuta kwa kucheat. Na nilihic ndoto kuyasikia hayo kutoka kwake.

Hapa ninapoongea sijafunga ndoa nae, kila mtu na maisha yake, maana ilinibidi nipotee kabisa, na iliwaogopesha sana familia yangu. Na imebaki hivi hivi, hakuna kinachoeleweka, mama mkwe akiniangalia huwa kama anataka kulia kabisa, hajawah kunieleza chochote. Now niko na mshe zangu.

Kikubwa mimi namshukuru Mungu maana yeye ndiyo muweza wa yote, Nililia sana, mpk kesho nikikumbuka nitalia vile vile. Ila itafika wakati kidonda changu kitapona tu kwa kuumizwa na kubondwa bondwa ndani ya moyo wangu. Maisha lazima yaendelee, wapo wataomcheka Ruge lkn Boss ameumizwa na jambo lisikie kwa mchiz mwingine, omba yasikukute wazee.

Men out there TUMUOMBEE mwenzetu awe MTULIVU na SUBIRA, kwani atapata mwingine aliye wa kweli.
Pole sana mkuu.
 
Ila hii issue ya ruge wanawake wameishikia bango sana..!
Ila ukiuliza wakutajie wanawake waliozaa na jamaa sidhani kama wanawajua..! Ruge anaweza kuwa ni malaya ndio.. Ila naona kama amekuwa muhanga wa wanawake waliowahi kutendwa na mabwana/waume wao..!

Labda ntakuwa sijui. Naomba wadada humu ndani waniletee wanawake aliozaa nao ruge, ikiwezekana na idadi ya watoto wake..! Isije ikawa ni rumors tu..!

Cc.
Numbisa, Miss Natafuta miss chagga etc..
Wakikuletea hizo data, nakuomba unitag na mm
 
Ndugu wanaume wenzangu, hapa ninawalenga wanaume na sio 'wavulana'...

Ukishaona mwanamke anaridhia kutaka kupata mtoto na wewe ilihali hagusii kabisa suala la ndoa au hatma inayolingana na hivyo...

Basi jua wazi kabisa mwanamke huyo akishatimiza azma yake, suala la kuachwa solemba lipo wazi....

Kama kweli una nia ya kuwa na mtoto/watoto, kwa nini usimuoe huyo mwanamke uachane na dhana ya kuwa 'jogoo wa kuazimwa', maana hao ndio huazkmwa na wenye mtetee kuwapandikiza mbegu za mayai...
 
Moja ya makosa makubwa wabayofanga wazaz lipo hapa,unaruhusuje mwanao wa kike akaishi na mwanaume bila ndoa?
Unakubali VIP mwanaume au mwanamke mzae bila kufunga ndoa?
Pole kwa iliyokutokea Ila funzo ni kwamba hakuna kitu kibaya kama kuishi na mwanaume au mwanamke kwa kujaribu ndoa,ukitaka kujarib jaribun huko barabaran lakin sio kuishi nae, mnasahau huwez kumjua MTU unaeishi nae chini ya miaka minne?? Kufahamina na kukubaliana mpka kuzaa sio kipimo cha kumjua MTU na kumwelewa,mnakimbilia kuishi na watto wa watu matokeo yake wanazalishwa na vidume vingine then mnabak kulalamika.

Mwanaume mwenye busara hawez kukaa na mtoto wa kike bila ndoa,maana hatichelewag kugeuka. Unamtumia baadae tunawatupa halaf wakifanya wao tunaona wanatuonea.

Jifunzeni kutoka kwa waliowazid na mtumie makosa ya watu wengine kujifunza. Pole tena kwa yaliyokukuta kiongoz
maneno ya busara.
 
Watu wanasema story yangu haifananiii na ya The boss! Mm nasema kisa cha Ruge anachopitia na historia ya maisha yangu, ni kwamba the output n tumeachwa haijalish makorokocho yanafanana au hayafanani
 
Life goes on, dunia inazunguka.
Hakuna haja ya kjiapiza, kulaani n.k
Mshukuru mungu kwa kila jambo, kila mmoja wao hao kuna kitu mungu anamwepusha nacho au kuna baraka anamletea.
Hayatokei kwao tu, yanatokea kila uchao kwenye jamii, sema tu kwa kuwa hawa ni maarufu ila kila mmoja wetu ana mapito yake.
Kweli inatupasa kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Nimeumizwa sana kwenye mapenzi, ilifikia hatua nikataka kujiua
 
Ndugu kisa chako si sawa na ruge...
Mwenzio ruge ni malaya kicheche...anazalisha kila kona..kipindi tu zamarad ana mimba ya pili..tyr kuna mtangazaji wa redio fulan nae alikua na mimba..na wakajifungua kwa kufatana...
Ukiacha hao..bado ana watoto rundo...ana haki ya kupigwa chini...zama kamvumilia kachoka..
Yako wewe inaonyesha bibi aka mama mtoto alikua km anakutumia tu...lkn wewe ulikua unampenda kweli...
Na amekataa kuolewa nawe cz anafeel guilty
Nani huyo? Au mama Zion

Sent from my using JamiiForums mobile app
 
Ila hii issue ya ruge wanawake wameishikia bango sana..!
Ila ukiuliza wakutajie wanawake waliozaa na jamaa sidhani kama wanawajua..! Ruge anaweza kuwa ni malaya ndio.. Ila naona kama amekuwa muhanga wa wanawake waliowahi kutendwa na mabwana/waume wao..!

Labda ntakuwa sijui. Naomba wadada humu ndani waniletee wanawake aliozaa nao ruge, ikiwezekana na idadi ya watoto wake..! Isije ikawa ni rumors tu..!

Cc.
Numbisa, Miss Natafuta miss chagga etc..
Hata mm naona anasingiziwa tu
 
Sorry Ruge ana miaka mingapi. Kinahomzuia kuoa ni nini?
 
Ana Miaka 50 kasoro,asa akioa u.malaya atafanyaje?na yeye msanii yoyote wa kike mzuri ili awike lazima amlale,masistaduu wote lazima awafunue,u.malaya tu hongera zama kwa kutukomeshea
Sorry Ruge ana miaka mingapi. Kinahomzuia kuoa ni nini?
 
Back
Top Bottom