nicholous mella
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 312
- 164
Hahahahaha!!! Wee JamAa mchokoziiiPole kwa yote aliyokufanyia Anna,ona kafanya mpaka umeandika kimombo kuweka msisitizo.😀😀😀😀
Hahahahaha!!! Wee JamAa mchokoziiiPole kwa yote aliyokufanyia Anna,ona kafanya mpaka umeandika kimombo kuweka msisitizo.😀😀😀😀
waafanyakazi wenngi mabinti wanaofanya kazi pale wamelalamika jamaa anapakua kwanza kabla kukupa ajira, muosha huoshwa
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Moja ya makosa makubwa wabayofanga wazaz lipo hapa,unaruhusuje mwanao wa kike akaishi na mwanaume bila ndoa?
Unakubali VIP mwanaume au mwanamke mzae bila kufunga ndoa?
Pole kwa iliyokutokea Ila funzo ni kwamba hakuna kitu kibaya kama kuishi na mwanaume au mwanamke kwa kujaribu ndoa,ukitaka kujarib jaribun huko barabaran lakin sio kuishi nae, mnasahau huwez kumjua MTU unaeishi nae chini ya miaka minne?? Kufahamina na kukubaliana mpka kuzaa sio kipimo cha kumjua MTU na kumwelewa,mnakimbilia kuishi na watto wa watu matokeo yake wanazalishwa na vidume vingine then mnabak kulalamika.
Mwanaume mwenye busara hawez kukaa na mtoto wa kike bila ndoa,maana hatichelewag kugeuka. Unamtumia baadae tunawatupa halaf wakifanya wao tunaona wanatuonea.
Jifunzeni kutoka kwa waliowazid na mtumie makosa ya watu wengine kujifunza. Pole tena kwa yaliyokukuta kiongoz
Sijui kwanini zama anaonekana mbaya wakati ruge ni chitombi anaejulikana. Kwahiyo binti wa watu angeendelea tu kusubiri kwenye Hamna!!!!Sababu ke hawapendi kufunguka ila wakifunguka mhu hapatakalika. Endeleeni kuongea tu ila Jua linaangaza na linaona kinachotendeka hata gizani.
Nashangaa wanao mtetea,kazingua kweli.Ila kumbuka ruge ana watoto wengine nje ya wale wa zamaradi!!
Na mpaka amezaa nae watoto wawili kwanini asingeoa kabisa???
Ruge mwanaume mwenzangu ila kwa hili hapana aiseee,
Mwanamke amekuzalia watoto wawili bado hutaki kuoa!!!!
Halafu wewe nakutafuta kama hela,Nina mchongo mmoja mkubwa mtani[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mh poleni kwa kuumizwa. Ila msi mlaum yule Dada mana watoto wawili bila ndoa sio mchezo. Badae mnge mcheka nyie wenyewe na kum dharau.Hata kama ana watoto wa nje, boss kajitoa sana kwa mama viwili, kila kitu anapewa, Zam ubinafsi na kutaka fame, ndio kaamua kuvipa vipaumbele kwenye maisha yake
Sio inshu ujue aiseee ndo nn sasaHalafu wewe nakutafuta kama hela,Nina mchongo mmoja mkubwa mtani
Sijaelewa, kwani ukiwa na ndoa inaongeza nini kwa mfano? Ivo viapo havi ondoi usaliti ni maneno tu hata hayana maanaMoja ya makosa makubwa wabayofanga wazaz lipo hapa,unaruhusuje mwanao wa kike akaishi na mwanaume bila ndoa?
Unakubali VIP mwanaume au mwanamke mzae bila kufunga ndoa?
Pole kwa iliyokutokea Ila funzo ni kwamba hakuna kitu kibaya kama kuishi na mwanaume au mwanamke kwa kujaribu ndoa,ukitaka kujarib jaribun huko barabaran lakin sio kuishi nae, mnasahau huwez kumjua MTU unaeishi nae chini ya miaka minne?? Kufahamina na kukubaliana mpka kuzaa sio kipimo cha kumjua MTU na kumwelewa,mnakimbilia kuishi na watto wa watu matokeo yake wanazalishwa na vidume vingine then mnabak kulalamika.
Mwanaume mwenye busara hawez kukaa na mtoto wa kike bila ndoa,maana hatichelewag kugeuka. Unamtumia baadae tunawatupa halaf wakifanya wao tunaona wanatuonea.
Jifunzeni kutoka kwa waliowazid na mtumie makosa ya watu wengine kujifunza. Pole tena kwa yaliyokukuta kiongoz
Sikuhukumu kwa lolote Ila unajua ndoa ni nn? Ukishajua na ukaiishi huo usaliti ni akili yako...ktk maisha usiposimamia cchte lazima utaangukia popote,weng wa wasaliti hawaanzi ndan ya ndoa Ila weng ni tabia mienendo yao waliyoi hagua na Mara nying watu hawa huacha mwili wao uiongoze akili so lazima ukutane na mkwamo,sisi wanadamu tunapswa akili zetu ndio ziendeshe mwili na dhamira Ila ukiwa tu na tabia ya wanyama ambao wao wanatawala mazingira yanaowazunguka ndio wwngi wao wanakuja kulia lia huku. Usaliti ni kutowajibika ipasavyo kwa mwezi wako na mahusiano yakifa jua wote mmeshindwa kuwajibikiana.. Ila ni ukosefu wa maadili na tamaa ndio unawaruhusu wahusika waish pamoja bila ndoa maana hakuna kitabu cchte cha dini kilichoelezea ishi nae kwanza ndo umuoe hakuna na hakitawah kutokeaSijaelewa, kwani ukiwa na ndoa inaongeza nini kwa mfano? Ivo viapo havi ondoi usaliti ni maneno tu hata hayana maana