Kisa cha Mwarabu muuza madawa ya kulevya Kariakoo: Ilikuwa balaa na faida

Yule mwalimu akalalamika sana eti mwarabu anakutafuta nikajua ni soo nikataka kusema siendi yule mwalimu akasema amenipa hadi pesa nikutafute mwanae amekataa walimu wengine anasema wewe ndio anakuelewa kumbe yule mwarabu hana soo wala nini na dogo ananikubali maana alijaribu kupeleka mwalimu mwingine anayefuata miiko ya ualimu hakumsoma dogo dogo akamkataa eti ni mkali ,basi nikasema kesho lazima niende yule mwalimu akamaidi akasema niende siku hiyohiyo so jioni nitatimbakkoo


Kufika dogo akafurahi akakimbia kimwamsha mamake mama kuja ndio nikajua kumbe wanakula madawa ya kulevya na wanauza pia kuwa wako bongo kusukuma ndaga maana mama yule alikuja akiwa sober hatari ila akafurahi kifaransa king mix English alivyorudi ndani nikaanza story na michezo maana ile haikuwa tuition yalikuwa maagizo na aliyeyaleta ni dogo na mimi nilitaka pesa tu.

Baada ya kumaliza kama lisaa hivi nikataka kutoka siku ile yule mwarabu hakuwepo so dogo akaingia ndanikuniletea pesa mzee nikajua leo ni elfu hamsini ndogo akarudi akasema mamake ananiita ndani mzee kufika sebuleni namkuta kama kazima hivi akasema chukua hapo pesa nikachakua hamsini dogo akasema mbona unachukua kidogo mzee nikapiga kama laki tatu nikasepa .nikajiona mjinga sana kwa kuwa cocaine niliiona na mapesa kibao kwa kwanini nimechukua kidogo hivyo so nikajiapia kuwa next time nikirudi nakomba haswaa nachukua tax

Kesho yake jioni kama kawaida nikaibuka na michezo ukawa ile ile hapa sasa dogo ananiletea leo laki 3 kesho laki nne kiukweli ukawa ni kuondoka na mapesa ila nikajipa moyo kuwa siku dogo qkiniambia niingie ndani nichukue ndio basi

Snilikuwa na pesa na nilijua kuwa zinakotoka na pia mshua alianza kujua kuwa nimebadilika na pesa ninayo ,mshua huwa anatabia ya kukagua vyumbani mwetu bila sisi kujua na alikuwa ananitaka niingie jeshini hivyo alikuwa kwenye maandalizi ya kuona inakuwaje chuo au jeshi na aliniambia anatafuta chuo nje ya nchi ,mshua alikuwa haamini kabisa elimu ya bongo so katika kukagua kwake alibaini ninakiwango kikubwa cha pesa kuliko mtumishi wa umma so akawa nanifatilia kimyakimya ingekuwa leo ningeitwa mhujumu uchumi

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisoma primary mapaka form six inchini Uganda baada ya hapo mzee wangu amabaye alikuwa mwambata wa balozi kule Kampala nchini Uganda alirejeshwa makao makuu ya jwtz ngome so mimi naye na bimkubwa na wadogo zangu tukaja hapa dar ,ingawa malezi yangu yalikuwa dar au Kampala na kwenye mageti nilikiwa mtundu na mtukutu sana hivyo connection za mitaa hazikunipiga chenga na nilivyorudi ndio kipindi tuition zimejaa mchikini so nikawa naenda na washkaji si unajua tena English ilikuwa ndio kwake hapa .

Moja ya mwalimu pale alinikubali akaniambia kama nataka kufundisha niende anipe class nipate pesa za kuzugia nisimtegemee mzee maana nimekuwa na mzee karibu anastafu so nikaona poa na mshua alivyokuwa kaksi kwenye pesa nikawa natimba na masomo mengine

Moja ya siku alikuja mwarabu pale anatafuta mwalimu wa mumfundisha mwanae home atamlipa vema ,yule mwalimu mwenye eneo lake akaniita akasema kuna dili ongea na huyu ,tukakaa tukakubaliani kuwa jioni niende kwake mitaa ya khiblatini kkoo so nikivyomaliza pale single lesson nikaenda ,nikamkuta yupo yeye mkewe na mtoto eti wametoka Morocco wamepanga kkoo tukakubaliana nianze kesho kazi watanilipa pesa ya kibongo elf hamsini kwa siku just for one hour .sikujua kilichokuwa nje ya mkataba huo

Kesho kijana mimi machachali nikaibuka nikamkuta mtoto amewekewa meza nje ,nilivyo mdoma dogo hataki kabisq kusoma anaoenda stories na michezo ila kwa kuwa nikitaka pesa niksema ngoja nione ,kumbe yule dogo alikuwa ndio bosi akisema hakutaki ndio kazi imeishia hapo so nilivyomsoma nikasema nitakwenda naye ,Mara mame akaja akamuuliza is he a nice teacher dogo akajibu yeah he is best mama akafurahi nikala changu nisema dogo akesema teacher see you tomorrow! Nikamjibu for God wishes .

Kesho yake nikamkuta dogo peke yake akasema hataki kusoma anataka kuchora tu na mimi nikijua yeye ndio assessor wangu nikasema yes let's do it ,tulivyomaliza dogo akaenda ndani akaniletea pesa kibao alifanya kuchota tu hata hajui pesa ya bongo inahesabiwaje au nikutokana na utoto,haraka na kunikubali nilihisi hivyo,mzee nikachuka hata sikuhesabu nikaweka kwenye mifuko nikasema kufika home nikahesabu nikamkuta laki tisa nakasema hii ni hatar

Narudi

==========

Naendelea

Hiyo ilikuwa 2005 so unaweza kupima mwenyewe laki Tisa ilikuwa bei gani tena kwa mtoto wa kishua kama mimi niliezoea kupewa elfu tano ya sinema

Kesho yake nikaibuka nikajua yule mwarabu atauliza nikane nikawakuta wote tena wanataka kutoka na dogo kwa kuwa mimi bado nipo poa pesa ninayo niasepa poa kesho mwarabu akasema no came here akanipa elfu hamsini akasema wao ndio wanamakosa walipaswa kunipa taarifa aka apologized tukaagana

Kesho yake nikamkuta dogo pale na mastory ya beach kumbe walikwenda beach so mastory tu kutaka kumpa kazi dogo akazingua akasema kama nataka niandike mimi na kuumpa majibu aandike tu atanipa pesa nyingi ila nisimwambie mamake ndio nikajua kuwa dogo anamuogopa mama tu babake ni kama yeye so mbongo mimi mpenda pesa nikapiga kazi dogo akagoma kukwenda ndani kuchukua pesa akaniomba niende mimi akanielekeza nyuma ya mlango nilivyo mbishi nikatimba kufika mama yangu kulikuwa na benki ya home ,kina ma dollars,ksh,tsh mengine sijui ya wapi mimi faster nikakomba dollars nikazifunga kwenye soksi nikachukua kama laki mbili mkononi za kuzugia dogo akamamaidi why you pick too little akasimama akaenda tena ndani akaleta mzigo mzee nikasema roho inadinda nikaapa sirudi tena kufika home nikapita moja kwa moja hadi chumbani nikaanza kuhesabu mzee nikamkuta nina dolaa laki 3 ushee na laki nane so mle ndani jumla nikawa kama Nina dola laki 3 na milioni na moja na laki tano

Kiukweli sikulala nilihisi mwarabu wa Morocco anaweza kuniibukia pale kwa mshikaji tuition, nikaamua kuacha kwenda na kubadili mitaa nikawa nashinda kwa bibi mlalakuwa na pesa ipo maana maza alianza kusema kuwa mbona sili home mala nini.

Badaada kama siku nne nikaibuka home nakisha na kisha nikaenda kwa wale walimu tuition kwa machele ile nafika


USSR


!
!
Ndio Maana Unaishabikia Sisiemu
 
Bado umeniacha njia panda mkuu
Ukiambiwa washa GPS kwenye kifaa cha mawasiliano mfano simu au computer ndo hiyo. Ukiambiwa washa location ndo hiyo inakuwa inaonesha location. GPS inamilikiwa na Jeshi la anga la Marekani, mifumo sawa na hii ni GLONASS wa Urusi na BeiDou wa China ambayo ni mpya hii. Kama wewe ni Mbuga utakumbuka mwaka 2017 Mgote alivoibiwa vifaa vya gari na simu nyumbani kwake. Ndo nilikuwa namuelezea car tracking.
 
Nilisoma primary mpaka Form Six inchini Uganda. Baada ya hapo mzee wangu amabaye alikuwa mwambata wa balozi kule Kampala nchini Uganda alirejeshwa makao makuu ya JWTZ ngome. So mimi naye na bimkubwa na wadogo zangu tukaja hapa Dar, ingawa malezi yangu yalikuwa Dar au Kampala na kwenye mageti nilikiwa mtundu na mtukutu sana, hivyo connection za mitaa hazikunipiga chenga na nilivyorudi ndio kipindi tuition zimejaa Mchikichini so nikawa naenda na washkaji, si unajua tena English ilikuwa ndiyo kwake hapa!

Moja ya walimu pale alinikubali akaniambia kama nataka kufundisha niende anipe class nipate pesa za kuzugia nisimtegemee mzee maana nimekuwa na mzee karibu anastaafu, so nikaona poa na mshua alivyokuwa kaksi kwenye pesa nikawa natimba na masomo mengine.

Moja ya siku alikuja Mwarabu pale anatafuta mwalimu wa mumfundisha mwanaYe home atamlipa vema. Yule mwalimu mwenye eneo lake akaniita akasema kuna dili ongea na huyu; tukakaa tukakubaliana kuwa jioni niende kwake mitaa ya Khiblatini Kariakoo, so nilivyomaliza pale single lesson nikaenda nikamkuta yupo yeye mkewe na mtoto eti wametoka Morocco wamepanga Kariakoo. Tukakubaliana nianze kesho kazi watanilipa pesa ya Kibongo elf hamsini kwa siku, just for one hour. Sikujuwa kilichokuwa nje ya mkataba huo.

Kesho kijana mimi machachali nikaibuka nikamkuta mtoto amewekewa meza nje, nilivyomuona dogo hataki kabisa kusoma anaoenda stories na michezo, ila kwa kuwa nikitaka pesa niksema ngoja nione. Kumbe yule dogo alikuwa ndiyo bosi, akisema hakutaki ndio kazi imeishia hapo. So nilivyomsoma nikasema nitakwenda naye, mara mama akaja akamuuliza, "Is he a nice teacher?" dogo akajibu, "Yeah, he is best". Mama akafurahi nikala changu, dogo akesema "Teacher, see you tomorrow" Nikamjibu "For God wishes"

Kesho yake nikamkuta dogo peke yake akasema hataki kusoma anataka kuchora tu na mimi nikijua yeye ndio assessor wangu, nikasema "yes, let's do it" tulivyomaliza dogo akaenda ndani akaniletea pesa kibao alifanya kuchota tu hata hajui pesa ya Bongo inahesabiwaje au ni kutokana na utoto, haraka na kunikubali nilihisi hivyo, mzee nikachukuwa hata sikuhesabu nikaweka kwenye mifuko, kufika home nikahesabu nikamkuta laki tisa, nikasema hii ni hatari.

Narudi

==========

Naendelea

Hiyo ilikuwa 2005 so unaweza kupima mwenyewe laki tisa ilikuwa bei gani tena kwa mtoto wa kishua kama mimi niliezoea kupewa elfu tano ya sinema.

Kesho yake nikaibuka nikajuwa yule Mwarabu atauliza nikane, nikawakuta wote, tena wanataka kutoka na dogo. Kwakuwa mimi bado nipo poa, pesa ninayo, nikasema poa kesho. Mwarabu akasema "No, come here", akanipa elfu hamsini akasema wao ndiyo wana makosa, walipaswa kunipa taarifa, aka-apologized tukaagana.

Kesho yake nikamkuta dogo pale na mastory ya beach kumbe walikwenda beach, so mastory tu kutaka kumpa kazi dogo akazingua akasema kama nataka niandike mimi na kuumpa majibu aandike tu atanipa pesa nyingi ila nisimwambie mama yake ndiyo nikajua kuwa dogo anamuogopa mama tu, babake ni kama yeye. So Mbongo mimi mpenda pesa nikapiga kazi dogo akagoma kwenda ndani kuchukuwa pesa akaniomba niende mimi, akanielekeza nyuma ya mlango.

Nilivyo mbishi nikatimba. Kufika, mama yangu! kulikuwa na benki ya home! Kuna ma dollars, ksh, tsh mengine sijui ya wapi. Mimi faster nikakomba dollars nikazifunga kwenye soksi nikachukua kama laki mbili mkononi za kuzugia, dogo akamamaindi, "Why you pick too little?" akasimama akaenda tena ndani akaleta mzigo. Mzee! Nikaona roho inadunda nikaapa sirudi tena. Kufika home nikapita moja kwa moja hadi chumbani nikaanza kuhesabu. Mzee, nikakuta nina dola laki 3 na ushee na laki nane. So mle ndani jumla nikawa kama nina dola laki 3 na milioni na moja na laki tano.

Kiukweli sikulala nilihisi Mwarabu wa Morocco anaweza kuniibukia pale kwa mshikaji tuition, nikaamua kuacha kwenda na kubadili mitaa nikawa nashinda kwa bibi mlalakuwa na pesa ipo maana maza alianza kusema kuwa mbona sili home mara nini.

Baada ya kama siku nne nikaibuka home na kisha nikaenda kwa wale walimu tuition kwa machele ile nafika...


USSR

Yule mwalimu akalalamika sana eti mwarabu anakutafuta nikajua ni soo nikataka kusema siendi yule mwalimu akasema amenipa hadi pesa nikutafute mwanae amekataa walimu wengine anasema wewe ndio anakuelewa kumbe yule mwarabu hana soo wala nini na dogo ananikubali maana alijaribu kupeleka mwalimu mwingine anayefuata miiko ya ualimu hakumsoma dogo dogo akamkataa eti ni mkali ,basi nikasema kesho lazima niende yule mwalimu akamaidi akasema niende siku hiyohiyo so jioni nitatimbakkoo

Kufika dogo akafurahi akakimbia kimwamsha mamake mama kuja ndio nikajua kumbe wanakula madawa ya kulevya na wanauza pia kuwa wako bongo kusukuma ndaga maana mama yule alikuja akiwa sober hatari ila akafurahi kifaransa king mix English alivyorudi ndani nikaanza story na michezo maana ile haikuwa tuition yalikuwa maagizo na aliyeyaleta ni dogo na mimi nilitaka pesa tu.

Baada ya kumaliza kama lisaa hivi nikataka kutoka siku ile yule mwarabu hakuwepo so dogo akaingia ndanikuniletea pesa mzee nikajua leo ni elfu hamsini ndogo akarudi akasema mamake ananiita ndani mzee kufika sebuleni namkuta kama kazima hivi akasema chukua hapo pesa nikachakua hamsini dogo akasema mbona unachukua kidogo mzee nikapiga kama laki tatu nikasepa .nikajiona mjinga sana kwa kuwa cocaine niliiona na mapesa kibao kwa kwanini nimechukua kidogo hivyo so nikajiapia kuwa next time nikirudi nakomba haswaa nachukua tax

Kesho yake jioni kama kawaida nikaibuka na michezo ukawa ile ile hapa sasa dogo ananiletea leo laki 3 kesho laki nne kiukweli ukawa ni kuondoka na mapesa ila nikajipa moyo kuwa siku dogo qkiniambia niingie ndani nichukue ndio basi

Snilikuwa na pesa na nilijua kuwa zinakotoka na pia mshua alianza kujua kuwa nimebadilika na pesa ninayo ,mshua huwa anatabia ya kukagua vyumbani mwetu bila sisi kujua na alikuwa ananitaka niingie jeshini hivyo alikuwa kwenye maandalizi ya kuona inakuwaje chuo au jeshi na aliniambia anatafuta chuo nje ya nchi ,mshua alikuwa haamini kabisa elimu ya bongo so katika kukagua kwake alibaini ninakiwango kikubwa cha pesa kuliko mtumishi wa umma so akawa nanifatilia kimyakimya ingekuwa leo ningeitwa mhujumu uchumi

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

So mzee alivyo baini ishu akanihoji jioni yake, ikabidi ni mwambie wapi napata pesa maana zilikuwa nyingi sana Mzee aniambie kesho nitaondoka naye asubuhi.

Basi tukaamka moja kwa moja mpaka makao makuu ya polisi nikaachwa hapo wakaja watu wa kitengo cha madawa ya kulevya nikawaeleza nilivyo.

Basi wakaweka mtego na mimi nikaambiwa nikifika na kuhakikisha yule jamaa yupo niwatonye. So siku ile nilishinda makao makuu ya polisi mpaka muda wa kwenda tuition mida ilipofika nikaingia kama kawa nikawakuta yule mwarabu na mkewe tena siku hito wakiwa na wenzao.

Nikafanya kazi yangu kama kawaida baada ya kutoka jamaa walikuwa nje.

Wakaingia na kuwakamata wote mihela kibao na madawa ya kilo kadhaa kisi kwamba wale polisi walishangaa sana kukuta pesa zote mle ndani wakahisi labda jamaa alikuwa kiongozi makubwa kwenye genge la wauza unga.

Tangu siku ile nikawa nashinda home na nikatafutiwa chuo nje niende kusoma nikakaa huko miaka minne mpaka leo sihitaji connection za mujini.

Mwisho

Swali weka hapa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiongozi uliwezaje kuweka Dola laki 3 kwenye soksi na kuondoka nazo? Hivi ushawahi kuziona Dola laki 1 zinakua na muonekano upi? Nakutakia mafanikio mema mwaka mpya huu
 
Jamaa stori yako inafurahisha maana naona uongo mwingi sana. Kama hakuna uongo kwenye stori yako rusha dollar 10 ya fasta . Teh teh teh natania mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom