leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,181
Na maanisha kwenye medani ya propaganda nadhani kaeleweka vizuri kuliko serikali,kwa sasa GOT anapaswa kujinasua kwenye mtego umeenasa pabaya mtu wangu. Heshina imepotea lile jina muuuMkuu kwa hilo mimi huwa napingana hadi na msimamo wa Jeshi,kuniita shujaa wakati sina mguu au mkono kisa nimepigana vita ya Uganda au DRC,mimi siuoni.We uliye mzima nyuma ya keyboard yako baada ya kushiba mchana pengine na moja ya baridi ndo shujaa kuliko hata Lissu.Ukiniambia kwa sasa hivi shujaa ni MBOWE nitakuelewa maana yupo anauguza wakati huo huo anakula bata NAIROBI.