BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 4,229
- 5,259
Mkuu soma kwenye mistari..alitumia pale dukani kwa maana ya kununua bidhaa.Jamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Mkuu soma kwenye mistari..alitumia pale dukani kwa maana ya kununua bidhaa.Jamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Akimaliza anzisha wako..sio mambo ya kudandia kama kile Nairoto.Jamani hii sio chai. Hayo Mambo yapo yalishawahi kunikuta Kama anavyosimulia huyu jamaaa. Nasema yapo
Iko hivi..kuna kundi la whatsup huko huyu kichaa mwenye maarifa hii habari ameisimulia na kuimaliza..hivyo huyu mdau naona yuko huko pia..hivyo amecheza fair.Ameona mambo yasiwe mengi akapokea kijiti, iliwahi kutokea kwenye stori nyingine pia, mwenye uzi wake alianza kuleta madoido jamaa akaamua kuumalizia na mambo yakawa fresh
Kwahiyo acha tu jamaa atuondolee arosto
Tunaomba link ya grp hiloIko hivi..kuna kundi la whatsup huko huyu kichaa mwenye maarifa hii habari ameisimulia na kuimaliza..hivyo huyu mdau naona yuko huko pia..hivyo amecheza fair.
Kumbe?? Basi mi sikukuona kuleNaona tulikiwa wote kwa Kitoabu
Hakumtumia Bali alitumia ktk manunuzi ofisini kwa huyo dadaJamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Iko hivoDaaah kwahyo story ndo imeisha kisa mods kuuhamisha uzi
Jamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Jamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Hiv huyu jamaa mwenye uzi huu alizira mazima???
Ewe mrembo Hebu mfuate pm umshawishi.Et jaman..!!
Narudigi kuchungulia naona patupu