Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,050
- 127,619
Navompenda...lakiniii....eniwei...!!!
I know shem....nami nampenda my wifi sitaki kumuudhi
Navompenda...lakiniii....eniwei...!!!
I know shem....nami nampenda my wifi sitaki kumuudhi
Mambo Wii
Mie nipo
We naeee ushem na wewe umetoka wapi
Bhasiza bhane.....msigombee fito vya kujengea nyumba mojaNtuzu hii lazima ikutokee puani nataka mahali ya mwallu .
We are sisters...... Ushatoa macho ee hubi?We naeee ushem na wewe umetoka wapi
Dah....yaani dahWe naeee....huwajui hata ndugu wa mkeo mi mwenzio nimeingia juzi tu hapa nawajua karibu wote
Wifi yako mwallu ana kz sn! Maana anajifanya hamtambui Shemeji Yake ili wachepuke!
We naeee ushem na wewe umetoka wapi
Ujue hujaninunulia nguo ya Eid.Majuto mjukuu waswahili Wanasema...yanakuja baadae sana... So wapo watu pia wanazo regrets hizo...laiti ningetoa zaidi....to love is to give...are we giving enough? Au we demand to receive a lot ?
Mentor andika kitabu cha hadithi za watoto with lots of illustrations, itakulipa sana.
I wish I was your Hellen
Ujue hujaninunulia nguo ya Eid.
Hiyo thread niliiona nilikuwa as guest nameless girl ni mdau wa industry hiyo ndo maana nae nimem tag
vitabu vilikuwepo zamani but vimepotea na vipya hakuna