Kisa cha Mfalme na Maskini

Kisa cha Mfalme na Maskini

Mentor bwana siku hizi umestafu nini ? maana wewe na hadithi kwa mwanao tu , mi nimemisi hadithi zako za kipolice maana ulikuwa hujawahi kufanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaah Helena nae kwanini anasinzia mapema hivyo? By the way nice stori
 
Wapi huko shem??



Thank you sir.

Cc: Mr Q



Ahaha mkuuu ulitaka niwe na majanga milele jamani!?? Ngoja na mimi nipumzike kidogo bana..ingawa nimeacha upolisi!

Mbali sana shem
 
Last edited by a moderator:
hadithi imenivutia na nzuri sana ingawaje sijamalizia kuisoma nitarudi baadaye
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom