Kuna Jirani yangu alikuwa na mchumba wake, alimpenda Sana. Kabla hawajafunga ndoa jamaa akapata matatizo ya kiafya. Magonjwa ya kila aina Kwa takribani mwaka mzima anahangaika kujiuguza. Yule mchumba kuona vile akaanza kumletea visa mgonjwa, namwisho WA siku akumuacha jamaa ingAli akiwa anahangaika na maradhi yake. Mungu mkubwa mwaka huu mwezi WA Saba jamaa akarecover. Kumbuka familia zote zinafahamu uchumba huu, na mahari ishalipwa, Ila mwanamke akawa na MTU mwingine. Baada ya jamaa kujua hivyo, akaamua kulipa kisasi Kwa kutembea na marafiki WA aliyekuwa mchumba wake, na baadaye aliyekuwa mchumba wake akajua. Kesi kama hii iamuliwe vipi
Je warudiane, na warudiane VP, au kila MTU aendelee na maisha yake, na je Kwa dini Yao italeta maana.
Nawasilisha
Je warudiane, na warudiane VP, au kila MTU aendelee na maisha yake, na je Kwa dini Yao italeta maana.
Nawasilisha
