KISA CHA KWELI, USHAURI WENU

KISA CHA KWELI, USHAURI WENU

Mkuu nijuavyo mimi, dini haitambui mahusiano ya uchumba bali mpaka wawili hawa wangekula kiapo cha uaminifu na utii wa ndoa mbele ya padre/mchungaji ama shekh.

Hapo kilichopo ni jamaa kwenda ku claim mahari yake au apotezee.

Halafu huyo mwanamke ni nyoka hafai tena kuwa nae na kinachomtesa ni grief kuona ya kuwa marafiki zake wametafunwa na jamaa.
Umepatwa vyema, kwa hiyo mwanamke anaumia tu kwa hilo, ila hana mapenzi na jamaa. Dah
 
Pole japo kuwa hukutaka kujisema kuwa ni Wewe.
Kipindi cha uchumba ni muda sahihi wa kusomana na kupimana vigezo.

Hapo ndo muda kuyajua mapungufu na mazuri ya mwenza wako mtarajiwa na kuamua kama unaweza kuvumilia hayo.

Ni muda muafaka sana kuachana endapo roho zenu hazikuridhika na mwenzake.

Kuachwa ktk uchumba hakuna lawama na wala dini haihusiki hapo maana hamjapelekana kwenye dini bado hapo.
Sasa unashauri wamalizie kuachana au warudiane, na je uhusiano wa kifamilia ufe ama lah
 
Je kidini wafanyeje wakati tayari uchumba unatambulika. Au waachane juu Kwa juu
Nafikiri Dini zinatambua ndoa tu ndio maana hata wakati wa kufungishwa ndoa mtu anaweza kataa na akaendelea na maisha yake kama kawa.
 
Nafikiri Dini zinatambua ndoa tu ndio maana hata wakati wa kufungishwa ndoa mtu anaweza kataa na akaendelea na maisha yake kama kawa.
Dini zinatambua uchumba, je mahusiano ya kifamilia yafe, na kusiwepo na mawasiliano yeyote
 
Ni kwamba jamaa alitoa MAHARI,anapaswa kurudishiwa kwakua hakuna ndoa.
Lakini pia uchumba hautambuliki KWENYE UISLAM, so hakuna haja ya kusema eti WAVUNJE UCHUMBA.
Hata familia isiporudisha leo au kesho ila inapaswa kuirudisha maana si haki yao,NDOA HAIPO hivyo mahali irudi.
Uislam unasisitiza ndoa sio UCHUMBA
 
Safi, je vipi kuhusu mahusiano ya kifamilia, yasiwepo mawasiliano kabisa ama lah
 
Safi, je vipi kuhusu mahusiano ya kifamilia, yasiwepo mawasiliano kabisa ama lah
Hilo haliui mahusiano ya kifamilia,isipokuwa ndoa ingekuza mahusiano zaidi,
Kwa sababu ndoa haipo uhusiano wa kifamilia upo,
Allah amezuia mifarakano
 
Mkuu nijuavyo mimi, dini haitambui mahusiano ya uchumba bali mpaka wawili hawa wangekula kiapo cha uaminifu na utii wa ndoa mbele ya padre/mchungaji ama shekh.

Hapo kilichopo ni jamaa kwenda ku claim mahari yake au apotezee.

Halafu huyo mwanamke ni nyoka hafai tena kuwa nae na kinachomtesa ni grief kuona ya kuwa marafiki zake wametafunwa na jamaa.
Mahusiano ya kifamilia yalisababishwa na uchumba.Uchumba ukiisha kufa na familia zitarudi hali yake ya zamani kabla ya yauchumba(naturally).
 
Hilo haliui mahusiano ya kifamilia,isipokuwa ndoa ingekuza mahusiano zaidi,
Kwa sababu ndoa haipo uhusiano wa kifamilia upo,
Allah amezuia mifarakano
Safi sana.Ushauri mzuri
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mmmh! kosa la uchi kilipizwa kwa uchi mmmh sidhani kama ni sahihi!!
 
Kurudiana au kutokirudiana wataamua wao, sisi ngoja tuendelee kulegeza vyuma
 
jamaa bonge la mjanja....safi kabisa yeye atembeze dudu tuu achana nae huyo mwanamke .
 
Uchumba si ndoa unavunjika tu pale ikionekana mmoja usaliti wake hautibiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom