Kisa cha Kweli: Hawara alivyonifilisi

Kisa cha Kweli: Hawara alivyonifilisi

Status
Not open for further replies.
Huo ni ukichaa..hakuna mapenzi ya namna hio!! Labda tuu alikuwa anakupa kitu gan hasa cha totauti ambacho kwa mkeo hukuwa unakipata??? Katika vitu navomshukuru Mungu ni kunpa ubahili wa kiwango cha SGR hasa linapokujaga swala la kuhonga kwa kiwango kikubwa!
Huoni kasema kwamba staili zote walimaliza? Pigia mstari hapo.
 
Mdogo wangu, kwa hili niite mmbea tu, ukiniambia nitakupenda zaidi

😂😂😂
Kaka tafuta hela utuletee wadogo zako si unaona tunavyozurura humu hii ni ishara kwamba hatuna ishu hatuna dili Corona imetupiga moja kwa moja kwenye ishu zetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom