AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,118
Mara nyingi sie wanadamu huwa hatutaki kufunguka na kuwa wakweli... Yaani 'calling a spade a spade'. Kusema mwanaume aliyempa mimba ali mrubuni mie kwa upande wangu naona kuwa SIO kweli... Kwa mtazamo wangu ni kuwa yawezekana kweli alimpenda mpenziwe sana (apparently marehemu); ila kwa wakati huo huyo aliyekuja mara ya pili alikuwa na a more promisingi future kwake kuliko mpenzi aliye naye.
Hili swala kuna baadhi ya wanawake tena wengi tu (hata wanaume) hufanya. Anaweza akampenda mtu lakini akakubali ku settle na mwingine sababu kubwa ya 'security'. Ukiangalia story, mpenzi wa zamani alijuwa kuwa kuna mwanaume mwingine (hilo aliliwezesha mwenyewe Marietha - labda kwa kutaka kuonesha wazi kuwa kapata mwingine), hali huyo ambae ni mpya hakuwahi jua kuwa Marietha alikuwa na mpenzi; hii kuashiria Marietha alijitahidi kwa kila namna kuto tia mchanga kitumbua hicho... I may be wrong but ndio mtazamo wangu.
BTW Happy Birthday Marietha. To have reached an age ambayo umeshaona watoto wote wamekuwa na wanaweza kujitegemea ni suala la kumshukuru sana Mwenyezi Mungu.