MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,168
- 3,304
Habari wana intelligence.
Kuna simulizi niliwahi kuisikia kutoka usukumanj ambapo anatoka mwanamalundi.
Humu zimeshaandikwa sifa zake nyingi sana sina haja ya kurudia.
Huyu bwana alikuwa na visa na watu wengi kutokana na jinsi alivyokuwa hivyo wengine wakawa wanatafuta njia ya kumuua au kumdhuru.
Ilikuwa akisema neno linatokea kweli.
Katika pitapita zake porini akabanwa na haja kubwa. Bila hiyana akachutama na kukata gogo.
Kumbe lile tukio kuna asidi wake wanamdere hivyo alipoondoka jamaa walichukua mzigo wake na kuuweka mlangoni kwake.
Mwanamalundi aliporudi nyumbani alikuta mzigo mlangoni na hapo hapo akatamka neno.
" Aliye ku*ya hapa na afe"
Basi mwenye mzigo wake akafariki ambapo ni yeye mwenyewe.
Hii simulizi nimeikuta usukumani.
Nipo tayari kukosolewa