Kisa cha Jamaa yangu kuachwa na Mpenzi wake kisa umasikini

Kisa cha Jamaa yangu kuachwa na Mpenzi wake kisa umasikini

Yah me nmejiunga kitambo ila nimekua mdau zaidi hapa karibuni na kiukweli kwenye watu walofikwa na majanga ya mahusiano umekua mstari wa mbele ukiwapa ushauri na kuwatia moyo sana namie nikiwemo.
Rejea post nlojulisha kuchokwa Juzi[emoji2]

Ni kweli huwa nawatia moyo kwasababu mtu aliyeumia/anayeumia anahitaji faraja zaidi

Nikirejea kwenye post yako ile kikawaida tu kama mtu kakuchoka si unaachana nae ama?
 
Huyo raia nae boya..anyway mwambie aje nimpeleke kwa mganga mpya bagamoyo tukamroge
 
namba 3 uko sahihi mkuu
1. Ukimfungulia mwanamke biashara imiliki wewe, akikuzingua kama hivo anashtukia kesho anakuta kofuli kubwa na bango TUMEFUNGA BIASHARA HAPA!

2. Hata gari ukimnunulia limiliki wewe siku akizingua ni unatuma mtu akufiatie gari lako akapaki nyumbani

3. Usipende mwanamke asiye mkeo, wewe danganya danganya mpaka anyooke

4. Unawazaje kumuoa mtu usiyejua kwao? Usioe au kufikiri kuoa sehemu usiyoifahamu

5. Mwanamke asiyependa ndugu zako kaa naye mbali hakufai kama mke.

Mwambie jamaa yako akumbuke haya. Yeye ni kaka wadogo zake wanamtegemea asirudi kuweka nyumba ya urithi rehani.
 
Ni kweli huwa nawatia moyo kwasababu mtu aliyeumia/anayeumia anahitaji faraja zaidi

Nikirejea kwenye post yako ile kikawaida tu kama mtu kakuchoka si unaachana nae ama?
Sometimes una roho kubwa sana kwenye shauri zako
 
[emoji15][emoji15]
Yeah yuko sahihi --, katika hii dunia ukitaka Uyafurahie maisha " Mapenzi yape kipaumbele cha mwisho " Usi invest kwenye mahusiano hata siku moja. .

Na inapotokea ukawa kwenye mahusiano basi ipe akili yako Ifanye kazi kuliko wakati wote "... ukiwa hivyo hata mpenzi wako akikuambia nimefikiria kwa kina nikaona ni bora,tuachane ---Unamjibu Tu poa Usijali
 
Wanawake wabaya hata huruma hana

Yeye mwenyewe kayataka....ukampende mwanamke sii kujitakia kifo. Wee gegeda tuu hawana maana yoyote. Mwanamke wa kumpenda na kumjali ni mama yako tuu. Hawa wengine potezea...ni vhombo vya starehe.
 
Mkuu hukujua kuwa mchumba asomeshwi? Apo ungemuacha na mtto mmoja wala usingewaza maana Mali ambazo angepata mwanao angezifaidi
 
Back
Top Bottom