Kisa cha Jamaa yangu kuachwa na Mpenzi wake kisa umasikini

Habari zenu wanajanzi.

Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Muda mrefu sasa. Ninampenda sana kwakweli. Nimekuwa nikijipinda sana ili kumfurahisha kwani nimekuwa nikimnunulia viatu, mikoba, nguo hata vito mbalimbali ili apendeze.

Pia, kutokana na yeye kumaliza Chuo kikuu na kukosa ajira, nilimsaidia kufungua biashara kwa kuchukua mkopo katika taasisi fulani ya mikopo huku nikiweka rehani Nyumba ya wazazi wetu.

Ni mwanamke ambaye nimejitahidi sana kuonesha upendo wangu kwake, nampikia, namfulia nguo na muda mwingine hua namuogesha pale tunapooga pamoja.
Matatizo yalianza pale nilipoenda kumtambulisha kwa ndugu zangu kwa sababu Wazazi wangu walishafariki. Nilifanya hivyo ili asije kudhani nampotezea muda wake.
Kimsingi mimi ndiye naetegemewa na familia yangu kwa sababu ndio Mkubwa kwa wote. Ninawasomesha wadogo zangu wawili wa Kike pamoja na mvulana mmoja kwa kuunga unga hivyo hivyo. Kwa kweli hali sio nzuri kiuchumi kivilee.
Baada ya kumtambulisha mpenzi wangu kwa ndugu zangu, kiukweli walimpenda na kumheshimu sana.
Lakini tulivyorudi, alibadilika kabisa. Nikawa kero kwake. Hapokei simu zangu wala kujibu text zangu. Kama angepokea basi angeniambia niongee nachotaka kumwambia kwani yuko bize.
Sijui tatizo ni nini ila kwakuwa nimekubali kuwa mfungwa wa penzi lake ndio maana nimeamua kuwa nakomaa nae hivyo hvyo.
Siku moja baada ya kutowasiliana wala kuonana nae siku tatu mfululizo niliamua kwenda mahala nilikomfungilia biashara.
Huwezi amini, alinifukuza na kuniambia hayuko comfortable kuwa na mimi na anataka uhuru wa kufanya mambo yake. Mimi ni mtu Mkimya na hua sipendi ugomvi, hivyo, nilirudi nyumbani kwangu.
Ila kwa uchunguzi wangu wa awali naona kabisa ameshapata mtu mwingine tajiri na ameshaona mimi simfai kwa sababu ya mzigo wa familia yangu nayoihudumia. Pia, nafahamu anafanya hivyo kwa sababu anajijua ni mzuri na ni msomi.
Naumia sana Brother, kwani yule mwanamke nampenda sana na nimewekeza vitu vingi sana kwake. Nilipanga Mwaka huu mwezi wa Kumi nifunge nae Ndoa. Lakini muda wote wa mahusiano hakutaka niende kupiga hodi kwao.
Nimepoteza matumaini na mahusiano, moyo wangu umevunjika vipande vipande.
Napitia wakati Mgumu sana Bro wangu maana nashindwa kabisa kumtoa moyoni huyu Mwanamke. Kila napomuona Online WatsApp au Status zake moyo unaniuma mno ukizingatia hajibu texts zangu.
Aliacha nyumbani kwangu baadhi ya Nguo zake, hali inayozidi kunipa machungu. Sijui nini cha kufanya. Najua kwake It's over ila kwangu nafsi inagoma kumsahau. Nisaidie kwa mawazo nifanye nini Mimi....
Hivi ujinga nao unaitwa upendo. Hivi hakuna shule za mahusiano? Nashukuru babu alinifundisha mengi kwenye hii nyanja
 
Hahaha rafiki yako anasema amejaribu kuwa zezeta na zumbukuku awezavyo mbele ya Mwanamke lakini mwanamke kamuacha [emoji3][emoji3]..

Sasa wapi aliona mwanamke anampenda zezeta??????alivyo far* hapo anataka kumblame Mwanamke!

Mtu aumbwe mweusi abadili rangi,aumbwe na shape ya kawaida anywe madawa aongeze,apewe kope atoe aweke za bandia,apewe nywele atoe aweke za bandia ,nywele zake za asili hataki hata kutoka nazo nje kwenda nazo dukani tu hatua kumi mbele.

Wewe tu mseng* umetoka zako huko,umekurupuka eti unataka kumpa kila kitu eti ukimpa ndo atakupenda...Ana akili huyo rafiki yako?????
 
Naomba huu uzi uishie hapa kwa heshima yako, shikamoo Chifu[emoji847][emoji119]
 
Naionea hurumu familia inayomtegemea mwehu kama wewe unayeweza kuweka bond nyumba kumsomesha demu...wewe ni mtu wa hovyo hovyo kabisa!
 
Labda hujasema kuwa hyo biashara umeandikisha jina lako au? I mean kuanzia hela ya pango, leseni ya biashara na hata bidhaa hizo zote zimeandikwa kwa jina lako au la mwanamke.

Km vyote hvyo vimeandikwa kwa jina la mwanamke basi ushaumia mwachie vyote na wewe uendelee kulipa bank.

Km vyote au baadhi vina jina lako mfano pango na mzigo, nenda kavichukue Bila kuangalia nyuma.

Inaonekana kwa sasa Watt wa vyuo vikuu wengi wao wanawake kwa sasa huwa hawana kazi kutokana na Hali ya employment kuwa ngumu lakini vyuoni huwa wana watu wao sema ndo hvyo wakitok huko basi njaa kali.

Pia ukiwa mwanaume na ukaona Hali km hyo na bado unabebika kimtindo hivyo basi hata ukimuoa mwanamke wa namna hyo, madhaifu yako yanaweza sababisha hata Mali zote uandike jina Lake na ukafanya hivyo na mwisho wa siku akakutimua na ukawa huna chako.
Pia anaweza kukufanya ukawa huna mahusiano mazuri na ndugu zako.

Mwanamke mzuri ni yule mwenye tabia njema na si hawa ambao uzuri wao unasababishwa na make up bro.

Hivyo najua ni jambo gumu kufanya maamuzi lakini ukimpata mwanamke mwenye tabia nzuri, familia yako itabarikiwa na kuwa na furaha tele.

Kuna maneno yanayosema kuwa "mwanaume huwa anapata furaha ya milele pale ambapo anachagua mwanamke wa kumpa furaha Muda wote" fanya yote mabaya ila ukichagua mwanamke wa tabia mbaya kama huyo, hutakuwa na furaha hadi unazikwa. Na wapo wengine ambao tumeshawazika kisa masuala haya ya mke na mume. Ni bora kakuonyesha mapema kuliko kwenye ndoa.
 
Habari zenu wanajanzi.

Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Muda mrefu sasa. Ninampenda sana kwakweli. Nimekuwa nikijipinda sana ili kumfurahisha kwani nimekuwa nikimnunulia viatu, mikoba, nguo hata vito mbalimbali ili apendeze.

Pia, kutokana na yeye kumaliza Chuo kikuu na kukosa ajira, nilimsaidia kufungua biashara kwa kuchukua mkopo katika taasisi fulani ya mikopo huku nikiweka rehani Nyumba ya wazazi wetu.

Ni mwanamke ambaye nimejitahidi sana kuonesha upendo wangu kwake, nampikia, namfulia nguo na muda mwingine hua namuogesha pale tunapooga pamoja.
Matatizo yalianza pale nilipoenda kumtambulisha kwa ndugu zangu kwa sababu Wazazi wangu walishafariki. Nilifanya hivyo ili asije kudhani nampotezea muda wake.
Kimsingi mimi ndiye naetegemewa na familia yangu kwa sababu ndio Mkubwa kwa wote. Ninawasomesha wadogo zangu wawili wa Kike pamoja na mvulana mmoja kwa kuunga unga hivyo hivyo. Kwa kweli hali sio nzuri kiuchumi kivilee.
Baada ya kumtambulisha mpenzi wangu kwa ndugu zangu, kiukweli walimpenda na kumheshimu sana.
Lakini tulivyorudi, alibadilika kabisa. Nikawa kero kwake. Hapokei simu zangu wala kujibu text zangu. Kama angepokea basi angeniambia niongee nachotaka kumwambia kwani yuko bize.
Sijui tatizo ni nini ila kwakuwa nimekubali kuwa mfungwa wa penzi lake ndio maana nimeamua kuwa nakomaa nae hivyo hvyo.
Siku moja baada ya kutowasiliana wala kuonana nae siku tatu mfululizo niliamua kwenda mahala nilikomfungilia biashara.
Huwezi amini, alinifukuza na kuniambia hayuko comfortable kuwa na mimi na anataka uhuru wa kufanya mambo yake. Mimi ni mtu Mkimya na hua sipendi ugomvi, hivyo, nilirudi nyumbani kwangu.
Ila kwa uchunguzi wangu wa awali naona kabisa ameshapata mtu mwingine tajiri na ameshaona mimi simfai kwa sababu ya mzigo wa familia yangu nayoihudumia. Pia, nafahamu anafanya hivyo kwa sababu anajijua ni mzuri na ni msomi.
Naumia sana Brother, kwani yule mwanamke nampenda sana na nimewekeza vitu vingi sana kwake. Nilipanga Mwaka huu mwezi wa Kumi nifunge nae Ndoa. Lakini muda wote wa mahusiano hakutaka niende kupiga hodi kwao.
Nimepoteza matumaini na mahusiano, moyo wangu umevunjika vipande vipande.
Napitia wakati Mgumu sana Bro wangu maana nashindwa kabisa kumtoa moyoni huyu Mwanamke. Kila napomuona Online WatsApp au Status zake moyo unaniuma mno ukizingatia hajibu texts zangu.
Aliacha nyumbani kwangu baadhi ya Nguo zake, hali inayozidi kunipa machungu. Sijui nini cha kufanya. Najua kwake It's over ila kwangu nafsi inagoma kumsahau. Nisaidie kwa mawazo nifanye nini Mimi....
Shukuru kwa kuwa umejua mapema kuwa hakupendi, kubali aende k na we endelea kulea wadogo zako.

Kosa kubwa ulilofanya ni kumuamini mwanamke na kuthubutu kumfungulia biashara. Wanawake hawaaminiki kaka hadi uwekeze kiasi hicho,
Ukitaka atulie kidogo mwahi kwa kumtia mimba
 
Expire date yake imefika, achanganye miguu tu. Hapo kinachomuuma ni hivyo vitu tu ila akumbuke tu hata nae alifaidika nae in one way or another.
[emoji57][emoji57][emoji57]
 
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Hahaha rafiki yako anasema amejaribu kuwa zezeta na zumbukuku awezavyo mbele ya Mwanamke lakini mwanamke kamuacha [emoji3][emoji3]..

Sasa wapi aliona mwanamke anampenda zezeta??????alivyo far* hapo anataka kumblame Mwanamke!

Mtu aumbwe mweusi abadili rangi,aumbwe na shape ya kawaida anywe madawa aongeze,apewe kope atoe aweke za bandia,apewe nywele atoe aweke za bandia ,nywele zake za asili hataki hata kutoka nazo nje kwenda nazo dukani tu hatua kumi mbele.

Wewe tu mseng* umetoka zako huko,umekurupuka eti unataka kumpa kila kitu eti ukimpa ndo atakupenda...Ana akili huyo rafiki yako?????
 
Ntake radhi jamaa

Jii ishu ya mshkaji wangu sio mm[emoji19][emoji19][emoji19]
Naionea hurumu familia inayomtegemea mwehu kama wewe unayeweza kuweka bond nyumba kumsomesha demu...wewe ni mtu wa hovyo hovyo kabisa!
 
Tunajifunza kutokana na makosa mkuu
Shukuru kwa kuwa umejua mapema kuwa hakupendi, kubali aende k na we endelea kulea wadogo zako.

Kosa kubwa ulilofanya ni kumuamini mwanamke na kuthubutu kumfungulia biashara. Wanawake hawaaminiki kaka hadi uwekeze kiasi hicho,
Ukitaka atulie kidogo mwahi kwa kumtia mimba
 
Mwanamume haliwi pesa zake bure,tafuta nafasi U_compasate mtaji wako then mteme,usikubali loss za kishamba hivyo...pambana
 
Hahaha rafiki yako anasema amejaribu kuwa zezeta na zumbukuku awezavyo mbele ya Mwanamke lakini mwanamke kamuacha [emoji3][emoji3]..

Sasa wapi aliona mwanamke anampenda zezeta??????alivyo far* hapo anataka kumblame Mwanamke!

Mtu aumbwe mweusi abadili rangi,aumbwe na shape ya kawaida anywe madawa aongeze,apewe kope atoe aweke za bandia,apewe nywele atoe aweke za bandia ,nywele zake za asili hataki hata kutoka nazo nje kwenda nazo dukani tu hatua kumi mbele.

Wewe tu mseng* umetoka zako huko,umekurupuka eti unataka kumpa kila kitu eti ukimpa ndo atakupenda...Ana akili huyo rafiki yako?????

dah[emoji23]
 
Back
Top Bottom