Kisa cha Jamaa yangu kuachwa na Mpenzi wake kisa umasikini

ivi nyie huwa mnawaza nn mpka unafall qa vilaza kama ao!!?
 
[emoji57][emoji57][emoji57]
Ziandiie hizo emoji kama 50 hivi then mtumie huyo jamaa yako, ndie anaestaili.

Huu ni upande mmoja wa story, hatujasikia wa binti. Mwanaume ukiachwa usikimbilie kutoa lawama tu na kuhesabu uloyafanya, "upendo hauhesabu". Yawezekana nduguyo ndio chanzo cha kuachwa. Na kwasababu kipato chake ni cha chini basi anaona hicho ndicho kisingizio. Ukweli huwa mkiachana na wanawake hampendi wafanikiwe (kama kuwa na aliekuzidi haswa kipato).
 
Mapenzi hayajawahi niokota kiasi hicho, unampendaje mwanamke 100%
 
Sasa huyo rafiki yako hajui maana ya it's over. Badala ya kutumia hela kwa ajili yake na ndugu zake bwege anakwenda kumhonga changudoa yeye alikuwa anamwita mpenzi.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Jifanye kuwa mwanaume wa kenya basi nawewe kulalamika inakupotezea time mazee
 
Sasa huyo rafiki yako hajui maana ya it's over. Badala ya kutumia hela kwa ajili yake na ndugu zake bwege anakwenda kumhonga changudoa yeye alikuwa anamwita mpenzi.

Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
mapenzi upofu!
 
Habari zenu wanajanzi.

Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Muda mrefu sasa. Ninampenda sana kwakweli. Nimekuwa nikijipinda sana ili kumfurahisha kwani nimekuwa nikimnunulia viatu, mikoba, nguo hata vito mbalimbali ili apendeze.

Pia, kutokana na yeye kumaliza Chuo kikuu na kukosa ajira, nilimsaidia kufungua biashara kwa kuchukua mkopo katika taasisi fulani ya mikopo huku nikiweka rehani Nyumba ya wazazi wetu.

Ni mwanamke ambaye nimejitahidi sana kuonesha upendo wangu kwake, nampikia, namfulia nguo na muda mwingine hua namuogesha pale tunapooga pamoja.
Matatizo yalianza pale nilipoenda kumtambulisha kwa ndugu zangu kwa sababu Wazazi wangu walishafariki. Nilifanya hivyo ili asije kudhani nampotezea muda wake.
Kimsingi mimi ndiye naetegemewa na familia yangu kwa sababu ndio Mkubwa kwa wote. Ninawasomesha wadogo zangu wawili wa Kike pamoja na mvulana mmoja kwa kuunga unga hivyo hivyo. Kwa kweli hali sio nzuri kiuchumi kivilee.
Baada ya kumtambulisha mpenzi wangu kwa ndugu zangu, kiukweli walimpenda na kumheshimu sana.
Lakini tulivyorudi, alibadilika kabisa. Nikawa kero kwake. Hapokei simu zangu wala kujibu text zangu. Kama angepokea basi angeniambia niongee nachotaka kumwambia kwani yuko bize.
Sijui tatizo ni nini ila kwakuwa nimekubali kuwa mfungwa wa penzi lake ndio maana nimeamua kuwa nakomaa nae hivyo hvyo.
Siku moja baada ya kutowasiliana wala kuonana nae siku tatu mfululizo niliamua kwenda mahala nilikomfungilia biashara.
Huwezi amini, alinifukuza na kuniambia hayuko comfortable kuwa na mimi na anataka uhuru wa kufanya mambo yake. Mimi ni mtu Mkimya na hua sipendi ugomvi, hivyo, nilirudi nyumbani kwangu.
Ila kwa uchunguzi wangu wa awali naona kabisa ameshapata mtu mwingine tajiri na ameshaona mimi simfai kwa sababu ya mzigo wa familia yangu nayoihudumia. Pia, nafahamu anafanya hivyo kwa sababu anajijua ni mzuri na ni msomi.
Naumia sana Brother, kwani yule mwanamke nampenda sana na nimewekeza vitu vingi sana kwake. Nilipanga Mwaka huu mwezi wa Kumi nifunge nae Ndoa. Lakini muda wote wa mahusiano hakutaka niende kupiga hodi kwao.
Nimepoteza matumaini na mahusiano, moyo wangu umevunjika vipande vipande.
Napitia wakati Mgumu sana Bro wangu maana nashindwa kabisa kumtoa moyoni huyu Mwanamke. Kila napomuona Online WatsApp au Status zake moyo unaniuma mno ukizingatia hajibu texts zangu.
Aliacha nyumbani kwangu baadhi ya Nguo zake, hali inayozidi kunipa machungu. Sijui nini cha kufanya. Najua kwake It's over ila kwangu nafsi inagoma kumsahau. Nisaidie kwa mawazo nifanye nini Mimi....
Ngumu kumeza! Utshaurika kweli?
 
Bro pole sana, nimejihisi uchungu hata sijaendelea kuusoma uzi wako,

Ujue bna
Mtu anapoanza upendo, moyo unakuaga ni mmoja na unapenda kwa kumanisha, hivyo basi baada ya kuumizwa na kupata kitu kinacho itwa "heart broken" vile vipande vidogo vidogo vya moyo huanza kupenda sehem tofauti tofauti alaf sio kwa kumanisha, na hiyo ndio siri ya broken heart kuwa na matamanio sehem nyingi nyingi...

Tukirudi kwenye mada, braza pole sana kwakweli, ila kimsingi mwanamke ili uweze kumuweza unatakiwa kutomuonesha direct kabisa kua unampenda, maana unaweza ukajitoa asilimia zote kabisa alaf mwishowasiku akakuona boyatu, alaf akishapigika anajifanya kurudi...

Anyway ila kimsingi, jitahidi kutumia akili sana uokoe malizako, maana kimsingi......
"Kinachouma katika mapenzi ni mali na mda ulio utumia kwa mtu asiye kupenda". Na ndio maana mtu hufikia atua ya kuua, au hata kufanya reaction ya ajabu.

People who speak, less and think more, they always react very actively as Sulphic acid (H2SO4). Nahisi wana kemia mmenielewa zaidi.

Pole sana braza, kikubwa ni uzima, bahati haijagi mara mbili, iposiku atakutafuta, hautakua na mda nae, hatokupata,

Chukua malizako, sepaaaa kama husenibolt..
 
Asante jamaa, ndo changamoyo za maisha hizi

Back
Top Bottom