Kisa cha Dr. Nyambane na mauaji ya mkewe huko Kenya

Kisa cha Dr. Nyambane na mauaji ya mkewe huko Kenya

Wanasheria mtusaidie hapa,kwa ushahidi wa hizo messages huyu jamaa hawezi kuchomoka kwenye case ya mauwaji?

Inasikitisha halafu ndiyo kwanza ana 36
 
Hapo ukija kuchunguza kwa kina utashangaa aliyeivuruga hii familia ni boya mmoja tu hivi ambaye hana future yoyote ile! Haya mambo yanaumiza sana. Kuna watu huwa hawana kabisa hofu kwenye kuharibu ndoa za watu.
 
Back
Top Bottom