Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
Bora tu alivaa ilo Chupi la bibi yake..
mbona silion ilo lichu**
duh noma....Mkuu ulioni hilo la grey? ukiangalia vibaya utafikiri lile limpira la kuzuia mtu asizame kwenye maji!
amefedheheka jamani....aibuuuUBWANYENYE tu sasa analia nini, mbona hatujaona kuwa kamong'onyoka baada ya kuzama humo majini!!
Angekuwa kweli anajali sana kukwepa madimbwi ya maji angeishi Masaki huko...
UBWANYENYE tu sasa analia nini, mbona hatujaona kuwa kamong'onyoka baada ya kuzama humo majini!!
Angekuwa kweli anajali sana kukwepa madimbwi ya maji angeishi Masaki huko...
amefedheheka jamani....aibuuu
Kila nikiangalia hii kitu najiskia huruma na kicheko, halafu huyu ni mwana JF fulani hivi, sio ladyfurahia kweli kabebwa na saudari? Kuna kipindi hizi ndio zilikua dili za wapwa zangu MANI na zumbemkuu mteja wao mkubwa alikua ni dada Paloma na Aine huku Mr Rocky akipokea mshiko tu na watu8 akitoa receipt
Pole mpenzi