Kisa cha dada mmoja aliyerubuniwa na mwanaume Dar

Jamaa kajilipa pesa yake ya mafuta na usumbufu wa mizunguko yote
 
Ni ujinga kwa hapa Dar kung'ang'ania lifti usizozijua, afadhali kama mko zaidi ya mmoja. Pia ni vyema ukaangalia na mazingira ujiridhishe mwenyewe if it is safe.

Juzi kati mwezi august nilisafiri mikoani na nilienda na usafiri wangu. Sasa kuna siku nikawa naendesha gari mida ya jioni kama saa kumi naenda sehemu fulani. Nikiwa alone sikuwa na plan ya kupakia abiria, lakini kwa kuwa ni vijijini sikuogopa sana kivile. Nikafika sehemu mama mmoja akanisimamisha nikakubali kumpakia. Nikaenda mbele kidogo, kuna sista mmoja wa kanisa la Katoliki akanisimamisha nikampakia japo nikamwambia nina mizigo mingi sikuwa na plan ya kupakia abiria, ila kwa shida ya usafiri najikaza tu. Basi mbele tena nikasimamishwa, walikuwa wanaume wawili na dada mmoja. Nikasema nafasi haitoshi nina mizigo, wakang'ang'ania nikakubali kumbeba mdada. Tulipoondoka basi wakaanza story, wa kwanza akasema aliogopa hata kusimamisha gari maana aliona niko peke yangu na hanifahamu, sista naye akaunga mkono kuwa aliogopa lakini alijipa moyo tuu maana hakuwa na namna.

Nikawaambia jamani sasa niko peke yangu ningepata wapi mwingine wa kusafiri naye wakati nimekuja peke yangu? In short tulienjoy safari, na mwishoni hawakuamini macho yao hata nauli sikuwatoza japo walikuwa tayari kunipa. Tukaishia kufahamiana.

Its very risky, ni wachache wenye hofu ya Mungu

Mkuu hata wewe mwenyewe ulijiweka hatarini, Usipende kutoa au kupewa lifi ovyo ovyo.
 
Ngoja nimuite carter akuelezee..........[/QUOTE

Ningemuelewesha huyo, Ila sijapenda reply aliyotumia. Atengue kauli kwanza.

Anyway, ni maneno/uvumi ulioibuka Arusha Njiro huku, kuna Dada mmoja alipewa lift akazima njiani, alipopata fahamu ndio akajikuta yupo nyumbani kwa huyo aliempa lift huku akinyonyesha vitoto vya Kobe(tortoise )

Alipomaliza alirudishwa barabarani kuendelea na mizunguko yake kwa sharti la kutosimulia madhila yaliyomsibu! Sasa sijui Preta uliipataje hii ishu sista'angu, manake mdada aliambiwa asiseme chochote, sasa alisema na ndio ule uvumi ukazagaa, sijui kilimpata nini kama alivunja masharti na kutoa siri?

Ndio maana niliita uzushi hiyo kitu,
 
Last edited by a moderator:

iyo ishu ni kwelo kabisa iligundulika baada ya yeye kusikia kizunguzungu na kuzirai alipopelwkwa wodini walisema damu imemuishia kabisa na hakua na kidonda wakamwongezea alipozinduka ndio akasimulia mkasa
 
Last edited by a moderator:
Ni ujinga kwa hapa Dar kung'ang'ania lifti usizozijua, afadhali kama mko zaidi ya mmoja. Pia ni vyema ukaangalia na mazingira ujiridhishe mwenyewe if it is safe.

Juzi kati mwezi august nilisafiri mikoani na nilienda na usafiri wangu. Sasa kuna siku nikawa naendesha gari mida ya jioni kama saa kumi naenda sehemu fulani. Nikiwa alone sikuwa na plan ya kupakia abiria, lakini kwa kuwa ni vijijini sikuogopa sana kivile. Nikafika sehemu mama mmoja akanisimamisha nikakubali kumpakia. Nikaenda mbele kidogo, kuna sista mmoja wa kanisa la Katoliki akanisimamisha nikampakia japo nikamwambia nina mizigo mingi sikuwa na plan ya kupakia abiria, ila kwa shida ya usafiri najikaza tu. Basi mbele tena nikasimamishwa, walikuwa wanaume wawili na dada mmoja. Nikasema nafasi haitoshi nina mizigo, wakang'ang'ania nikakubali kumbeba mdada. Tulipoondoka basi wakaanza story, wa kwanza akasema aliogopa hata kusimamisha gari maana aliona niko peke yangu na hanifahamu, sista naye akaunga mkono kuwa aliogopa lakini alijipa moyo tuu maana hakuwa na namna.

Nikawaambia jamani sasa niko peke yangu ningepata wapi mwingine wa kusafiri naye wakati nimekuja peke yangu? In short tulienjoy safari, na mwishoni hawakuamini macho yao hata nauli sikuwatoza japo walikuwa tayari kunipa. Tukaishia kufahamiana.

Its very risky, ni wachache wenye hofu ya Mungu
Sina roho mbaya anayetaka lift nampa hata mimi najilinda na msouth kanolewa pande zote linang'aa mpaka unajiona under my sit but student wenye sketi za shule poleni sana naogopa nikiwaona ndio nakanyaga mafuta...
 
Chonde chonde shogangu.......kuna kunyonyesha kobe...........oooh, God forbid.........

Yaani napenda sana lifti.
Yaani sijui najiamini nini!!!
Ila ipo siku kutawika tu shouga
 
Sina roho mbaya anayetaka lift nampa hata mimi najilinda na msouth kanolewa pande zote linang'aa mpaka unajiona under my sit but student wenye sketi za shule poleni sana naogopa nikiwaona ndio nakanyaga mafuta...

Kwa nini unawaogopa students???
 
Mh!me toka nakua sipendi kabisa lifti hata kama naenda mbali na nimechoka lifti sipandi.Huwa naziogopa sana.Mtu humjui anakukuta njiani anakuambia dada unaelekea wapi twende na wewe unapanda mh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom